Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USHINDI WA CHADEMA SUMBAWANGA, VIGOGO CCM TUMBO JOTO

John Mnyika. Stori: MWANDISHI WETU
Kufuatia ushindi wa kishindo walioupata Chama cha Demokrasia na Maendeleo  (Chadema) katika uchaguzi wa marudio wa serikali za mitaa uliofanyika wiki hii katika kata tatu za Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, viongozi wa juu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ngazi ya mkoa na taifa, wanadaiwa kuhaha huku na kule ili kujua chanzo cha kushindwa huko. Kwa mujibu wa chanzo chetu, ushindi huo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Vigogo CCM Arusha watimkia Chadema

IMG_20150809_114435NA ELIYA MBONEA, ARUSHA

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Onesmo Ole Nangole na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Mkoa huo, Isack Joseph, wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha  Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Ole Nangole na Joseph walifikia uamuzi huo jijini hapa jana na kusema kwa nyakati tofauti wamelazimika kuchukua uamuzi huo kwa kuwa utaratibu wa kumpata mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ulikiukwa.

Kwa mujibu wa wana CCM hao, wakati wa mchakato...

 

10 years ago

Mwananchi

Upinzani wamweka tumbo joto Mwakyembe

 Ikiwa imebaki miezi tisa kabla ya Watanzania kufanya uamuzi wa kumpata Rais wa awamu ya tano, Waziri wa Uchukuzi Dk Harrison Mwakyembe ameitahadharisha CCM kwa kusema isipokuwa makini, upinzani utashinda katika Uchaguzi Mkuu.

 

10 years ago

GPL

FAINALI ULAYA, BARCELONA, JUVENTUS TUMBO JOTO

Straika wa Barcelona, Lionel Messi akionekana mwenye tabasam wakati wa mazoezi na timu yake jana jioni kuelekea fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya Barecelona na Juventus. Neymar Jnr katika mazoezi na timu yake, Neymar atakuwa atacheza mchezo wa kwanza wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.…

 

9 years ago

Mwananchi

Mosha wa CCM apongeza ushindi wa Chadema Moshi

Aliyekuwa mgombea ubunge wa CCM Jimbo la Moshi Mjini, Davis Mosha amempongeza mpinzani wake, Jaffar Michael wa Chadema kwa kupata ushindi wa kishindo.

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA KUTANGAZA KUACHIA NGAZI KWA KOCHA BORUSSIA DORTMUND WENGER TUMBO JOTO


JURGEN KLOPP

Jurgen Klopp kocha wa Borussia Dortmund ametangaza kuachia ngazi kuifundisha timu hiyo  ya Ujerman, Jurgen mwenye umri wa miaka 47 amekuwa kocha wa Borussia kwa miaka saba na kuiwezesha kutwaa ubigwa wa Bundesliga mara mbili na pia kuiwezesha timu hiyo kuingia fainali za Club bingwa Ulaya mara moja. Jurgen katangaza nia hiyo ya kuachana na timu hiyo baada ya ligi kumalizika na anatamani kufundisha moja ya timu za ligi ya Barclay Premier League  na baada ya kusikia hivyo kocha wa...

 

10 years ago

Michuzi

CHIKAWE AIBOMOA NGOME YA CHADEMA NACHINGWEA,VIGOGO, WANACHAMA WAO WARUDI KWA KISHINDO CCM

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (watano kulia waliosimama) akiwa na wanachama wapya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kukikimbia chao cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Wananchama hao 23 wakiongozwa na aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Wilaya ya Nachingwea na Kaimu Mwenyekiti wa Umoja wa Akina Mama wa chama hicho wilayani Nachingwea, Manufreda Malenga (watano kushoto waliosimama) walifanyiwa sherehe kubwa iliyofanyika...

 

10 years ago

Vijimambo

VIGOGO WA CCM MAKONGORO MAHANGA + MSINDAI MGANA + OMEDEYI WAJIUNGA RASMI NA CHADEMA SASA HIVI MLIMANI CITY LIVE!

Naibu Waziri wa Kazi Mh. MahangaMwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida ambaye ni Mbunge wa zamani wa Iramba Mashariki Ndg.Mgana Msindai ametangaza kujiuzulu wadhifa wake, kujiondoa CCM na kujiunga na CHADEMA. Msindai ni miongoni mwa wafuasi "watiifu" wa Mhe.Edward Lowassa. Inadaiwa wapo wenyeviti 15 wa CCM mikoa mbalimbali watajiunga na CHADEMA, baada ya Msindai kufungua njia.Mbunge wa Arumeru CCM Olemedeyi

 

9 years ago

Vijimambo

SIKILIZA WALICHOKISEMA STANSLAUS MABULA (CCM) BAADA YA USHINDI PAMOJA NA EZEKIEL WENJE (CHADEMA) BAADA YA KUSHINDWA.

Stanslaus Shing'oma Mabula akiongea na wanahabari usiku wa kuamkia jana Octoba 27,2015 muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi wa Ubunge Jimbo la Nyamagana (CCM)

BONYEA PLAY HAPA CHINI KUSIKILIZA Ezekiel Dibogo Wenje (Chadema) akiongea na wanahabari muda mfupi kabla ya matokeo kutangazwa usiku wa Kuamkia jana.Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi Jijini Mwanza ambae pia ni Kaimu Mkurugenzi wa Jiji hilo Titho Mahinya akitangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu Jimboni Nyamagana.

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA CCM KALENGA ZATINGA KIJIJI ALICHOZALIWA MGOMBEA WA CHADEMA, MWENYEKITI WA CHADEMA NA WANACHAMA 50 WATIMKIA CCM

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kijiji cha Wangama, Fred Mgata (kulia) akikabidhi kadi za chyama hicho kwa Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga baada ya yeye na wanachama wengine 50 wa Chadema kuamua kukihama na kujiunga CCM katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika  katika Kijiji hicho kilichopo Kata ya Luhota, Iringa Vijijini leo. Mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chadema ambaye ni mzaliwa wa kijiji hicho,  Grace Tendega alikuwa chini ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani