VIGOGO WA CCM MAKONGORO MAHANGA + MSINDAI MGANA + OMEDEYI WAJIUNGA RASMI NA CHADEMA SASA HIVI MLIMANI CITY LIVE!

Naibu Waziri wa Kazi Mh. Mahanga
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida ambaye ni Mbunge wa zamani wa Iramba Mashariki Ndg.Mgana Msindai ametangaza kujiuzulu wadhifa wake, kujiondoa CCM na kujiunga na CHADEMA. Msindai ni miongoni mwa wafuasi "watiifu" wa Mhe.Edward Lowassa. Inadaiwa wapo wenyeviti 15 wa CCM mikoa mbalimbali watajiunga na CHADEMA, baada ya Msindai kufungua njia.
Mbunge wa Arumeru CCM Olemedeyi
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog24 Aug
Mgana Msindai achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo ya Singida mjini kwa tiketi ya CHADEMA
Aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida na Mwenyekiti wa wenyeviti CCM mikoa ya Tanzania, Mgana Izumbe Msindai, akikabidhiwa fomu na msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya manispaa ya Singida, Joseph Mchina ya kugombea ubunge jimbo la Singida mjini kupitia tiketi ya CHADEMA.(Picha na Nathaniel Limu).
10 years ago
Michuzi
BREAKING NYUZZZZZ......: NAIBU WAZIRI WA KAZI NA AJIRA, DKT. MAKONGORO MAHANGA KUTIMKIA CHADEMA LEO

10 years ago
Dewji Blog14 Jul
Mgana Izumbe Msindai, atangaza nia kuwania ubunge jimbo la Mkalama
Mwenyekiti CCM mkoa wa Singida, Mgana Izumbe Msindai, akitangaza ni ya kugombea ubunge jimbo la Mkalama mkoa wa Singida kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kata ya Ibaga.
Sheikh wa mskiti wa kijiji cha Ibaga kata ya Mkalama, Seleman Tumai, akitoa kero ya uhaba mkubwa wa maji safi unaosababisha wachangie maji na mifugo na wanayapori kwenye mkutano wa hadhara ulioitishwa kwa ajili ya Mgana Msindai kutangaza nia ya kugombea ubunge Mkalama.
Mkazi wa kijiji cha Ibaga kata ya Mkalama,...
10 years ago
GPL
11 years ago
GPL11 years ago
GPL
TAPELI LILILOJIDAI MFANYAKAZI WA TANESCO LADAKWA LIVE MLIMANI CITY!
11 years ago
Michuzi20 Jul
KISHOKA ALIYEJIFANYA MFANYAKAZI WA TANESCO ADAKWA LIVE MLIMANI CITY

11 years ago
Dewji Blog20 Jul
Tapeli lililojidai Kishoka wa Tanesco ladakwa Live Mlimani City
Pichani juu na chini ni Kishoka wa Tanesco aliyekamatwa Mlimani City.
Na Mwandishi wetu
TAPELI lililokubuhu kwa masuala ya kulaghai watu kwa njia ya kujifanya kishoka washirika la Umeme Nchini, Tanesco, jana asubuhi limedakwa baada ya kuwekewa mtego walipokuwa wakitaka kutapeli kwa mmoja wa Afisa wa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Bi. Usia Nkhoma- Ledama.
Kwa mujibu wa Bi. Usia akieleza tukio hilo, alidai kuwa tapeli huyo alifika asubuhi akiwa na wenzake sita, ...
11 years ago
GPL
TAPELI LILILOJIDAI KISHOKA WA TANESCO LADAKWA LIVE MLIMANI CITY