TAPELI LILILOJIDAI KISHOKA WA TANESCO LADAKWA LIVE MLIMANI CITY

Pichani juu ni Kishoka wa Tanesco aliyekamatwa Mlimani City.  ...Hapa likiwa chini ya ulinzi na pingu mkononi. Na Mwandishi wetu TAPELI lililokubuhu kwa masuala ya kulaghai watu kwa njia ya kujifanya kishoka washirika la Umeme Nchini, Tanesco, jana asubuhi limedakwa baada ya kuwekewa mtego walipokuwa wakitaka kutapeli kwa mmoja wa…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog20 Jul
Tapeli lililojidai Kishoka wa Tanesco ladakwa Live Mlimani City
Pichani juu na chini ni Kishoka wa Tanesco aliyekamatwa Mlimani City.
Na Mwandishi wetu
TAPELI lililokubuhu kwa masuala ya kulaghai watu kwa njia ya kujifanya kishoka washirika la Umeme Nchini, Tanesco, jana asubuhi limedakwa baada ya kuwekewa mtego walipokuwa wakitaka kutapeli kwa mmoja wa Afisa wa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Bi. Usia Nkhoma- Ledama.
Kwa mujibu wa Bi. Usia akieleza tukio hilo, alidai kuwa tapeli huyo alifika asubuhi akiwa na wenzake sita, ...
11 years ago
GPL
TAPELI LILILOJIDAI MFANYAKAZI WA TANESCO LADAKWA LIVE MLIMANI CITY!
11 years ago
Michuzi20 Jul
KISHOKA ALIYEJIFANYA MFANYAKAZI WA TANESCO ADAKWA LIVE MLIMANI CITY

11 years ago
GPL11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
Tanesco Pwani yanasa ‘kishoka’ maarufu
SHIRIKA la Ugavi wa Umeme (Tanesco) Mkoa Pwani, limefanikiwa kumkamata Jeams Mkelembwa ambaye anadaiwa kuwatapeli wananchi kwa kujifanya mtumishi wa shirika hilo. Akizungumza na Tanzania Daima kuhusu sakata hilo jana,...
11 years ago
GPL
AIRTEL YAZINDUA DUKA LA KISASA MLIMANI CITY
5 years ago
Michuzi
11 years ago
Michuzi
FATILIA HAPA UTOAJI TUZO ZA KILI MUSIC LIVE KUTOKA MLIMANI CITY JIJINI DAR


10 years ago
GPL
JK ALIPOAGWA RASMI NA WASANII WA FANI MBALIMBALI MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM