Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanesco Pwani yanasa ‘kishoka’ maarufu

SHIRIKA la Ugavi wa Umeme (Tanesco) Mkoa Pwani, limefanikiwa kumkamata Jeams Mkelembwa ambaye anadaiwa kuwatapeli wananchi kwa kujifanya mtumishi wa shirika hilo. Akizungumza na Tanzania Daima kuhusu sakata hilo jana,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Tapeli lililojidai Kishoka wa Tanesco ladakwa Live Mlimani City

10500539_819006161445574_7780628803053090260_n

Pichani juu na chini ni Kishoka wa Tanesco aliyekamatwa Mlimani City.

Na Mwandishi wetu

TAPELI lililokubuhu kwa masuala ya kulaghai watu kwa njia ya kujifanya kishoka washirika la Umeme Nchini, Tanesco, jana asubuhi limedakwa baada ya kuwekewa mtego walipokuwa wakitaka kutapeli kwa mmoja wa Afisa wa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Bi. Usia Nkhoma- Ledama.

Kwa mujibu wa Bi. Usia akieleza tukio hilo, alidai kuwa  tapeli huyo alifika asubuhi  akiwa na wenzake sita, ...

 

11 years ago

Michuzi

KISHOKA ALIYEJIFANYA MFANYAKAZI WA TANESCO ADAKWA LIVE MLIMANI CITY

10500539_819006161445574_7780628803053090260_nKishoka aliyekamatwa Mlimani City.TAPELI linalotuhumuwa kukubuhu kwa masuala ya kulaghai watu kwa njia ya kujifanya mfanyakazi  wa shirika la Umeme Nchini, Tanesco, jana asubuhi limedakwa baada ya kuwekewa mtego walipokuwa wakitaka kutapeli kwa mmoja wa Afisa wa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Bi. Usia Nkhoma- Ledama.Kwa mujibu wa Bi. Usia, tapeli huyo alifika asubuhi akiwa na wenzake sita, nyumbani kwake.  Wakasema wanatoka Tanesco na hapo wamekuja kucheki mita ya...

 

11 years ago

GPL

TAPELI LILILOJIDAI KISHOKA WA TANESCO LADAKWA LIVE MLIMANI CITY‏

Pichani juu ni Kishoka wa Tanesco aliyekamatwa Mlimani City.   ...Hapa likiwa chini ya ulinzi na pingu mkononi. Na Mwandishi wetu TAPELI lililokubuhu kwa masuala ya kulaghai watu kwa njia ya kujifanya kishoka washirika la Umeme Nchini, Tanesco, jana asubuhi limedakwa baada ya kuwekewa mtego walipokuwa wakitaka kutapeli kwa mmoja wa…

 

9 years ago

GPL

OFM YANASA YANASA DAWA ZIKIUZWA KIHOLELA

Ramadhani na Mayasa Mariwata NIhatari! Shirika la Afya la Dunia (WHO) limetoa ripoti na kubainisha kwamba dawa za kutibu maradhi ya kuharisha, vichomi, maambukizi ya kwenye njia ya mkojo (U.T.I), mafua na magonjwa kama ya zinaa mfano kaswende na kisonono sasa zimekuwa sugu.  ..Soma zaidi===>http://bit.ly/1J7E0L4

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA NISAHATI NA MADINI AKUTANA NA MAMENEJA WA TANESCO,MKOA LINDI, MTWARA, PWANI NA DAR ES SALAAM

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage (katikati) akiwa katika kikao kilichojumuisha watendaji wa TANESCO, REA, na wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini katika mikoa ya Lindi na Mtwara. Kulia kwa Waziri ni, Mhandisi Nishati Mwandamizi, kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Salum Inegeja na kushoto ni Mhandisi Thomas Visi, Meneja wa kampuni ya Naomis Corporate Ltd inayotekeleza miradi ya usambazaji umeme vijijini katika mkoa wa Mtwara.Mhandisi Mkuu Usambazaji Umeme...

 

9 years ago

Mwananchi

Nigeria yanasa mkanda wa Stars

Nahodha wa muda wa Nigeria, Ahmed Mussa amesema wameisoma Tanzania kupitia mkanda wa video waliounasa ambao utawasaidia katika mchezo wa kesho wa kufuzu kwa fainali za Afrika mwaka 2017.

 

9 years ago

Mtanzania

Sheria ya mtandao yanasa watano

Suleiman-KovaAsifiwe George na Ester Mnyika, Dar es Salaam

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kutumia vibaya mitandao ya kijamii kufanya uhalifu wa  kutengeneza habari za uongo na uzushi dhidi ya viongozi au watu maarufu.

Akizungumza  na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleimani Kova alisema watu hao wamekuwa wakitumia vibaya majina ya watu maarufu hasa wanasiasa.

Kova alitaja majina...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Azam yanasa kifaa Ferroviarrio

UONGOZI wa mabingwa wa soka Tanzania Bara, Azam FC, umeendelea kusaka nyota kuimarisha kikosi chao, ambapo hivi sasa wako mbioni kumnasa mshambuliaji wa Ferroviarrio de Beira ya Msumbiji, Manuel Correia....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani