KISHOKA ALIYEJIFANYA MFANYAKAZI WA TANESCO ADAKWA LIVE MLIMANI CITY
Kishoka aliyekamatwa Mlimani City.TAPELI linalotuhumuwa kukubuhu kwa masuala ya kulaghai watu kwa njia ya kujifanya mfanyakazi wa shirika la Umeme Nchini, Tanesco, jana asubuhi limedakwa baada ya kuwekewa mtego walipokuwa wakitaka kutapeli kwa mmoja wa Afisa wa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Bi. Usia Nkhoma- Ledama.Kwa mujibu wa Bi. Usia, tapeli huyo alifika asubuhi akiwa na wenzake sita, nyumbani kwake. Wakasema wanatoka Tanesco na hapo wamekuja kucheki mita ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog20 Jul
Tapeli lililojidai Kishoka wa Tanesco ladakwa Live Mlimani City
Pichani juu na chini ni Kishoka wa Tanesco aliyekamatwa Mlimani City.
Na Mwandishi wetu
TAPELI lililokubuhu kwa masuala ya kulaghai watu kwa njia ya kujifanya kishoka washirika la Umeme Nchini, Tanesco, jana asubuhi limedakwa baada ya kuwekewa mtego walipokuwa wakitaka kutapeli kwa mmoja wa Afisa wa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Bi. Usia Nkhoma- Ledama.
Kwa mujibu wa Bi. Usia akieleza tukio hilo, alidai kuwa tapeli huyo alifika asubuhi akiwa na wenzake sita, ...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/10500539_819006161445574_7780628803053090260_n.jpg?width=650)
TAPELI LILILOJIDAI KISHOKA WA TANESCO LADAKWA LIVE MLIMANI CITY
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/10500539_819006161445574_7780628803053090260_n.jpg)
TAPELI LILILOJIDAI MFANYAKAZI WA TANESCO LADAKWA LIVE MLIMANI CITY!
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/MLIMANI-4.jpg)
TAHARUKI MLIMANI CITY, MWARABU ADAKWA AKIPIGA PICHA MAENEO MUHIMU
11 years ago
GPL11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
Tanesco Pwani yanasa ‘kishoka’ maarufu
SHIRIKA la Ugavi wa Umeme (Tanesco) Mkoa Pwani, limefanikiwa kumkamata Jeams Mkelembwa ambaye anadaiwa kuwatapeli wananchi kwa kujifanya mtumishi wa shirika hilo. Akizungumza na Tanzania Daima kuhusu sakata hilo jana,...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-jymrxswflrQ/Xm0gkhTKdlI/AAAAAAALjrg/RtzY4mLQhtEAeDVO8J4KcAhKbJStFqVCwCLcBGAsYHQ/s72-c/Harmonize-Afro-East-Album-Launch.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ud8MRCNMXag/U2U8YaJrPGI/AAAAAAAFfOg/pwwnHR2nIbU/s72-c/IMG-20140503-WA0002.jpg)
FATILIA HAPA UTOAJI TUZO ZA KILI MUSIC LIVE KUTOKA MLIMANI CITY JIJINI DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-ud8MRCNMXag/U2U8YaJrPGI/AAAAAAAFfOg/pwwnHR2nIbU/s1600/IMG-20140503-WA0002.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-y-rwPub7mcc/U2VDiMbcSlI/AAAAAAAFfOw/7y9fKxBhl4Q/s1600/IMG-20140503-WA0004.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-BtcjufSiimo/VcCo7nPbrkI/AAAAAAAB9bI/_iYXFbpTshQ/s72-c/mahanga.jpg)
VIGOGO WA CCM MAKONGORO MAHANGA + MSINDAI MGANA + OMEDEYI WAJIUNGA RASMI NA CHADEMA SASA HIVI MLIMANI CITY LIVE!
![](http://3.bp.blogspot.com/-BtcjufSiimo/VcCo7nPbrkI/AAAAAAAB9bI/_iYXFbpTshQ/s640/mahanga.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-JK8_ea4R1nY/VcCohO9eJDI/AAAAAAAB9a4/so3FBhqstUg/s640/msindai.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-iqEOWk9lHZI/VcCojj0IJBI/AAAAAAAB9bA/GOogNt3Sido/s640/olemedeyi.jpg)