Zitto alia rafu za CCM majimboni
Chama cha ACT-Wazalendo kimelalamikia rafu zinazodaiwa kufanywa na CCM, dhidi ya wagombea ubunge wa chama hicho kwenye majimbo mbalimbali ya Tanzania Bara.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo08 Jan
Nyalandu ‘alia’ na rafu za kisiasa
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ameeleza kusikitishwa kwake na siasa chafu zinazoanza kufanywa dhidi yake, ikiwa ni siku chache tangu atangaze kuwania Urais katika uchaguzi mkuu wa baadaye mwaka huu.
9 years ago
Mwananchi28 Dec
Kafulila alia kuchezewa rafu na Nec
10 years ago
Tanzania Daima20 Aug
CCM rafu tupu
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kwa kushirikiana na makada wa Chama cha ACT-Tanzania, wanadaiwa kuendesha mkakati wa kuvuruga uchaguzi wa kitaifa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ili kuzima...
10 years ago
Mwananchi14 Dec
Wapinzani walia CCM kuwachezea rafu
11 years ago
Mtanzania07 Aug
Zitto alia na rushwa kwenye uchaguzi
![Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Zitto-Kabwe.jpg)
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe
NA GRACE SHITUNDU
MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe, amesema wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika vyama vya siasa nchini wamekuwa wakivunja sheria ya uchaguzi ya mwaka 2010.
Alisema hatua ya kushindwa kuwasilisha ripoti ya matumizi ya fedha za uchaguzi kwa wagombea wa ubunge, urais na udiwani inakwenda kinyume na sheria.
Kauli hiyo aliitoa jana alipokuwa akizungumzia ripoti ya utafiti wa rushwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NOzw*b8EyMrlnxyKLdjPpGfJHPvPqgiQPMdPqalIav3GJjEFn9zZnh9c6-t7oHfcoWpI3oFnUVemoh*gS4VchRO0KsMVaeEg/maxresdefault.jpg?width=650)
Zitto Kabwe alia na Samatta, Domayo
10 years ago
Mwananchi13 May
KUELEKEA MAJIMBONI: Patachimbika CCM na Ukawa majimbo ya Mvomero na Kilombero
10 years ago
Mwananchi10 Jun
KUELEKEA MAJIMBONI : CCM ina kazi majimbo ya Buchosa, Sengerema na Ukerewe
10 years ago
Mwananchi24 Jun
KUELEKEA MAJIMBONI : Majimbo ya Sumbawanga Mjini, Kwela hayana mwenyewe Kalambo ni CCM