Wapinzani walia CCM kuwachezea rafu
Vyama vya CUF na Chadema vimekitupia lawama Chama cha Mapinduzi (CCM) vikidai kimecheza rafu katika mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog27 Nov
CHADEMA walia kuchezewa rafu Singida Kaskazini
Mjumbe wa kamati ya utendaji CHADEMA jimbo la Singida kaskazini,Theodory Hango,(kulia anayeangalia kamera) akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya CHADEMA kulaani vikali ukiukwaji wa kanuni na taratibu za uendeshaji wa uchaguzi wa serikali za mitaa unaoendelea nchini kote.Hango amedai CCM wameanza mchezo mbaya dhidi ya CHADEMA ikiwa ni pamoja na kukaa kutoa fomu kwa waombaji uongozi kutoka CHADEMA,hadi waonyeshe stakabadhi za kulipa michango ya ujenzi wa maabara. Kulia ni mwenyekiti...
10 years ago
Mwananchi27 May
Wapinzani walia na Brela bungeni
10 years ago
Tanzania Daima20 Aug
CCM rafu tupu
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kwa kushirikiana na makada wa Chama cha ACT-Tanzania, wanadaiwa kuendesha mkakati wa kuvuruga uchaguzi wa kitaifa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ili kuzima...
9 years ago
Mwananchi29 Aug
Zitto alia rafu za CCM majimboni
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
CCM walia
MSIMAMO wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliotolewa jana na Mwenyekiti wake, Jaji Joseph Warioba, kuwa muundo wa Muungano wa Serikali Tatu hauepukiki, umekivuruga Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuacha...
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://3.bp.blogspot.com/-5-iHInLI3GM/VE8gdWif1nI/AAAAAAAABuk/rr4gr6hcMiI/s72-c/philip_mangula-1.jpg)
CCM: Ndoa ya wapinzani ‘feki’
Yasema kuing’oa madarakani ni ndoto za alinacha Viongozi wa vyama vilivyoungana kila mmoja anatafuta ulaji Mangula awaonya viongozi wa wilaya kutowagawa wanachama
NA SELINA WILSON
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakitishiwi nyau kuungana kwa vyama vinne vya upinzani kwa lengo la kuking’oa madarakani.
![](http://3.bp.blogspot.com/-5-iHInLI3GM/VE8gdWif1nI/AAAAAAAABuk/rr4gr6hcMiI/s1600/philip_mangula-1.jpg)
Kimesema muungano huo wa wapinzani si halali na ni sawa na ndoa ya mkeka.
Pia kimesema ni ndoto za alinacha kwa wanandoa hao wa msimu, ambao kila mmoja anatafuta ulaji, kuing’oa CCM, ambayo...
11 years ago
Mwananchi29 Jun
CCM ilivyowaunganisha wapinzani bungeni
11 years ago
Tanzania Daima11 Aug
Jipange walia CCM kuwanyima eneo
KIKUNDI cha Jipange cha kinamama wajasiriamali mkoani Mtwara, wameilalamikia Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa, kwa kutowapa sehemu ya kufanyia biashara zao licha ya kuwa wa kwanza kufika katika...
10 years ago
Habarileo20 Dec
CCM Rorya yapiga kumbo wapinzani
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeng’ara katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Jumapili iliyopita, baada ya kuzoa viti vingi katika vijiji na vitongoji. Katika uchaguzi huo, CCM kilishinda vijiji 54 , wenyeviti wa vitongoji 313 na wajumbe wa Serikali za vijiji na viti maalum 443 na wajumbe mchanganyiko viti 557.