CHADEMA walia kuchezewa rafu Singida Kaskazini
Mjumbe wa kamati ya utendaji CHADEMA jimbo la Singida kaskazini,Theodory Hango,(kulia anayeangalia kamera) akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya CHADEMA kulaani vikali ukiukwaji wa kanuni na taratibu za uendeshaji wa uchaguzi wa serikali za mitaa unaoendelea nchini kote.Hango amedai CCM wameanza mchezo mbaya dhidi ya CHADEMA ikiwa ni pamoja na kukaa kutoa fomu kwa waombaji uongozi kutoka CHADEMA,hadi waonyeshe stakabadhi za kulipa michango ya ujenzi wa maabara. Kulia ni mwenyekiti...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania27 Oct
Lowassa alalamika kuchezewa rafu na polisi
SHABANI MATUTU NA MAULI MUYENJWA
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amelalamikia rafu alizodai kuchezewa na Jeshi la Polisi kwa nia ya kukibeba Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Malalamiko hayo ameyatoa jana, jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
Kwa mujibu wa Lowassa, Jeshi la Polisi limewakamata vijana 192 wa chama hicho waliokuwa wakifanya kazi ya kupokea na kujumlisha matokeo ya nchi nzima.
Baada ya vijana hao kukamatwa...
9 years ago
Mwananchi28 Dec
Kafulila alia kuchezewa rafu na Nec
10 years ago
Mwananchi18 Dec
CUF wadai kuchezewa rafu marudio Uchaguzi Serikali za Mitaa
10 years ago
Mwananchi14 Dec
Wapinzani walia CCM kuwachezea rafu
10 years ago
Tanzania Daima05 Dec
CHADEMA yalia rafu serikali za mitaa
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA (CHADEMA), kimelia kufanyiwa fitna mbalimbali ili kukifanya kisishiriki ipasavyo uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Desemba 4 mwaka huu. Kati ya mbinu hizo...
10 years ago
Mwananchi13 Apr
Wafanyabiashara wa vitunguu Singida walia na Waganda, Wakenya
10 years ago
MichuziNYALANDU ASHINDA KURA ZA MAONI UBUNGE CCM SINGIDA KASKAZINI
Nyalandu, ambaye alikitetea nafasi hiyo aliwashinda wagombea wenzake saba waliojitokeza kupambana naye, ambapo aliongoza kwenye kata zote za jimbo hilo na kuwaacha mbali wapinzani wake.
Mwanasiasa huyo kijana na mwenye ushawishi mkubwa, aliongoza katika Kata za Ikhanoda, Msange, Itaja, Mwasauya, Mrama, Maghojoa,...
9 years ago
Dewji Blog20 Aug
Nyalandu achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Singida Kaskazini
Mgombea Ubunge Jimbo la Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu akichukua fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi CCM kwa MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA SINGIDA KASKAZINI, Mkurugenzi Mtendaji HAJJAT MWASUMILWE.
Nyalandu akihutubia wananchi Kinyagigi.
Lazaro Nyalandu akiwa Kinyagigi.
Wananchi wa kijiji cha Kinyagigi wakimpokea Nyalandu.
9 years ago
Dewji Blog27 Oct
Nyalandu atangazwa kutetea nafasi yake ya ubunge jimbo la Singida kaskazini
Mbunge mteule wa jimbo la Singida kaskazini, Lazaro Samwel Nyalandu (katikati) akiwa amepumzika akisubiri kutangazwa kwa matokeo ya nafasi ya ubunge leo. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Singida vijijini, Naruba Hanje na kulia ni Shyrose Matembe anayewania nafasi ya ubunge viti maalum mkoa wa Singida.