CUF wadai kuchezewa rafu marudio Uchaguzi Serikali za Mitaa
Ikiwa imebaki siku moja kabla ya kufanyika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika maeneo ambayo uchaguzi huo uliahirishwa, Chama cha Wananchi (CUF) kimeibuka na kudai kuwa kuna mipango imepangwa kuhakikisha kuwa chama hicho hakipati ushindi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ipuMIaaNf1A/VJW-5Bbv6YI/AAAAAAAG4wA/E-Xep4IVtn4/s72-c/image061.jpg)
JESHI LA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM LINATOA TAHADHARI WAKATI WA UCHAGUZI WA MARUDIO, SERIKALI ZA MITAA
![](http://4.bp.blogspot.com/-ipuMIaaNf1A/VJW-5Bbv6YI/AAAAAAAG4wA/E-Xep4IVtn4/s1600/image061.jpg)
Awali, uchaguzi huo ulifanyika nchini kote tarehe 14/12/2014 na kulazimika kuahirishwa katika baadhi ya vituo vya kupigia kura kutokana na sababu mbalimbali. Katika mkoa wa Dar es Salaam uchaguzi huo...
10 years ago
Tanzania Daima05 Dec
CHADEMA yalia rafu serikali za mitaa
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA (CHADEMA), kimelia kufanyiwa fitna mbalimbali ili kukifanya kisishiriki ipasavyo uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Desemba 4 mwaka huu. Kati ya mbinu hizo...
9 years ago
Mtanzania27 Oct
Lowassa alalamika kuchezewa rafu na polisi
SHABANI MATUTU NA MAULI MUYENJWA
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amelalamikia rafu alizodai kuchezewa na Jeshi la Polisi kwa nia ya kukibeba Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Malalamiko hayo ameyatoa jana, jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
Kwa mujibu wa Lowassa, Jeshi la Polisi limewakamata vijana 192 wa chama hicho waliokuwa wakifanya kazi ya kupokea na kujumlisha matokeo ya nchi nzima.
Baada ya vijana hao kukamatwa...
9 years ago
Mwananchi28 Dec
Kafulila alia kuchezewa rafu na Nec
10 years ago
Dewji Blog27 Nov
CHADEMA walia kuchezewa rafu Singida Kaskazini
Mjumbe wa kamati ya utendaji CHADEMA jimbo la Singida kaskazini,Theodory Hango,(kulia anayeangalia kamera) akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya CHADEMA kulaani vikali ukiukwaji wa kanuni na taratibu za uendeshaji wa uchaguzi wa serikali za mitaa unaoendelea nchini kote.Hango amedai CCM wameanza mchezo mbaya dhidi ya CHADEMA ikiwa ni pamoja na kukaa kutoa fomu kwa waombaji uongozi kutoka CHADEMA,hadi waonyeshe stakabadhi za kulipa michango ya ujenzi wa maabara. Kulia ni mwenyekiti...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-qqFxjgi9sKQ/U8kYyK3L9hI/AAAAAAAF3YY/uYKNkkaYlUo/s72-c/MMGM8382.jpg)
TAMKO LA KIKUNDI KAZI CHA SERIKALI ZA MITAA CHA POLICY FORUM KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-qqFxjgi9sKQ/U8kYyK3L9hI/AAAAAAAF3YY/uYKNkkaYlUo/s1600/MMGM8382.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-nhubQhZpWwc/U8kYyb0ubPI/AAAAAAAF3Yc/vWolIRDUZ5Q/s1600/MMGM8396.jpg)
10 years ago
Mwananchi21 Dec
Makilagi: Chadema ‘imeiua’ CUF, NCCR Uchaguzi Mitaa
10 years ago
Habarileo17 Dec
CUF yatetea anguko lake serikali za mitaa
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimeelezea sababu za kufanya vibaya katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.
10 years ago
StarTV16 Dec
Uchaguzi serikali za mitaa, Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.
Na, Winifrida Ndunguru
Dar Es Salaam.
15 December 2014
UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA: Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.
Serikali imekiri kuwepo kwa kasoro luluki katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika nchini kote Jumapili wiki hii likiwemo suala zima la mkanganyiko wa jina la mgombea kuonekana katika chama kingine.
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Hawa Ghasia, amesema kutokana na kasoro hizo ameitaka mikoa...