CCM ilivyowaunganisha wapinzani bungeni
Kadri muda unavyozidi kwenda, ndivyo mambo yanavyozidi kuwa magumu na kuwaweka njiapanda Watanzania juu ya uwezekano wa kupata Katiba Mpya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi30 May
Wapinzani bungeni wamkaanga Zitto
10 years ago
Mwananchi19 Nov
Wapinzani wamsulubu Mwakyembe bungeni
10 years ago
Mwananchi27 May
Wapinzani walia na Brela bungeni
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://3.bp.blogspot.com/-5-iHInLI3GM/VE8gdWif1nI/AAAAAAAABuk/rr4gr6hcMiI/s72-c/philip_mangula-1.jpg)
CCM: Ndoa ya wapinzani ‘feki’
Yasema kuing’oa madarakani ni ndoto za alinacha Viongozi wa vyama vilivyoungana kila mmoja anatafuta ulaji Mangula awaonya viongozi wa wilaya kutowagawa wanachama
NA SELINA WILSON
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakitishiwi nyau kuungana kwa vyama vinne vya upinzani kwa lengo la kuking’oa madarakani.
![](http://3.bp.blogspot.com/-5-iHInLI3GM/VE8gdWif1nI/AAAAAAAABuk/rr4gr6hcMiI/s1600/philip_mangula-1.jpg)
Kimesema muungano huo wa wapinzani si halali na ni sawa na ndoa ya mkeka.
Pia kimesema ni ndoto za alinacha kwa wanandoa hao wa msimu, ambao kila mmoja anatafuta ulaji, kuing’oa CCM, ambayo...
10 years ago
Habarileo20 Dec
CCM Rorya yapiga kumbo wapinzani
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeng’ara katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Jumapili iliyopita, baada ya kuzoa viti vingi katika vijiji na vitongoji. Katika uchaguzi huo, CCM kilishinda vijiji 54 , wenyeviti wa vitongoji 313 na wajumbe wa Serikali za vijiji na viti maalum 443 na wajumbe mchanganyiko viti 557.
9 years ago
Habarileo09 Sep
Magufuli aunganisha CCM na wapinzani nchini
MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli, ameanza mkakati wa kukusanya kura kutoka vyama tofauti, ikiwemo vyama vinavyounda kundi la Ukawa.
10 years ago
Habarileo03 Sep
CCM yasikitishwa wapinzani kususa Bunge
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesikitishwa na tabia ya wapinzani kususa mchakato wa Katiba, unaoendelea kupitia Bunge Maalumu linaloendelea mjini Dodoma, wakati ndio wanaolalamika kwamba kero za Muungano hazijapatiwa ufumbuzi.
10 years ago
Mwananchi14 Dec
Wapinzani walia CCM kuwachezea rafu
10 years ago
Mwananchi23 Apr
CCM inatengeneza wapinzani wake yenyewe