Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli aunganisha CCM na wapinzani nchini

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli, ameanza mkakati wa kukusanya kura kutoka vyama tofauti, ikiwemo vyama vinavyounda kundi la Ukawa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Magufuli akata, aunganisha wizara

Baada ya wiki sita za kusubiri kwa shauku, hatimaye Rais John Magufuli ametangaza baraza dogo la mawaziri lenye wizara 18 likiongozwa na mawaziri 19 na manaibu wao 15.

 

9 years ago

Mwananchi

Wapinzani wapongeza utendaji wa Magufuli

Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Profesa Abdallah Safari amemshauri Rais John Magufuli kuipitia upya mikataba ya madini na kuifanyika marekebisho ili kuboresha maisha ya Watanzania.

 

9 years ago

BBCSwahili

Magufuli aapishwa na kuwashauri wapinzani

John Magufuli ameapishwa kuwa rais mpya wa Tanzania na kuwaambia wapinzani kwamba yuko tayari kufanya kazi nao kwa ajili ya kuiendeleza nchi hiyo.

 

9 years ago

GPL

KAGASHEKI; MAGUFULI NI JEMBE; AWANASA WAPINZANI

Khamis Sued Kagasheki. MIAKA zaidi ya 14 iliyopita, siasa za Jimbo la Bukoba Mjini mkoani Kagera, hazikufikiria kama kuna mtu aliyeitwa Khamis Sued Kagasheki. Hata alipojitokeza, alionekana mgeni kwa wakazi wengi wa Bukoba. Mwaka huu, Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli alimnadi Kagasheki na kumtaja kuwa ni mtu anayefaa kuwa mbunge kuliko wagombea wote lakini naye akamnadi mwakilishi huyo wa urais wa...

 

5 years ago

Michuzi

DKT.MAGUFULI ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CCM...WANA CCM WAIMBA 'MAGUFULI BABA LAOO'


Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
RAIS Dk.John Magufuli amechukua fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) leo Juni 17,mwaka 2020 katika Makao ya Chama hicho Jijini Dodoma.
Dk.Magufuli anachukua fomu hiyo kwa ajili ya kuomba tena ridhaa ya kugombea nafasi hiyo kwa tiketi ya CCM ikiwa ni awamu ya pili baada ya kumaliza awamu ya kwanza ya miaka mitano iliyoanzia mwaka 2015 mpaka mwaka 2020.Uchuguzi Mkuu mwaka huu unatarajia kufanyika...

 

9 years ago

StarTV

Rais Magufuli awataka wapinzani kuondoa tofauti zao

 

Rais wa awamu ya Tano Dokta John Pombe Magufuli amevitaka vyama vya upinzani nchini kuondoa tofauti zao na badala yake washirikiane pamoja katika kuwatumikia watanzania ili kufanikisha azma ya kuwaletea wananchi maendeleo.

Kauli hiyo ameitoa mara baada ya kuapishwa rasmi na kuwa rais wa Jamhri ya muungano wa Tanzania awamu ya tano Katika Sherehe zilizofanyika JIjini Dar es Salaam.

Kushushwa kwa  Bendela ya Rais inaonesha kufikia ukomo kwa uongozi wa Serikali ya awamu ya nne na sasa...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA : WAPINZANI WAMEKOSA SERA MBADALA NCHINI

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Milola jimbo la Mchinga ambapo aliwaambia wapinzani wamekosa sera mbadala matokeo yake wamekuwa wakitumia muda mwingi kuishambulia CCM Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Milola, wilaya ya Lindi Vijijini ambapo aliwaambia CCM imejipanga vizuri kuwashinda Upinzani kuanzi Serikali za mitaa
  Mbunge wa Jimbo la Mchinga Ndugu Said Mtanda akihutubia wakazi wa Milola ambapo aliwaambia asilimia kubwa...

 

11 years ago

Mwananchi

CCM ilivyowaunganisha wapinzani bungeni

Kadri muda unavyozidi kwenda, ndivyo mambo yanavyozidi kuwa magumu na kuwaweka njiapanda Watanzania juu ya uwezekano wa kupata Katiba Mpya.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

CCM: Ndoa ya wapinzani ‘feki’



 Yasema kuing’oa madarakani ni ndoto za alinacha Viongozi wa vyama vilivyoungana kila mmoja anatafuta ulaji Mangula awaonya viongozi wa wilaya kutowagawa wanachama
NA SELINA WILSON
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema  hakitishiwi nyau kuungana kwa vyama vinne vya upinzani kwa lengo la kuking’oa madarakani.

 Kimesema muungano huo wa wapinzani si halali na ni sawa na ndoa ya mkeka.
Pia kimesema ni ndoto za alinacha kwa wanandoa hao wa msimu, ambao kila mmoja anatafuta ulaji, kuing’oa CCM, ambayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani