Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli akata, aunganisha wizara

Baada ya wiki sita za kusubiri kwa shauku, hatimaye Rais John Magufuli ametangaza baraza dogo la mawaziri lenye wizara 18 likiongozwa na mawaziri 19 na manaibu wao 15.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Magufuli aunganisha CCM na wapinzani nchini

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli, ameanza mkakati wa kukusanya kura kutoka vyama tofauti, ikiwemo vyama vinavyounda kundi la Ukawa.

 

9 years ago

Dewji Blog

Dk. Magufuli: “ Ziara yangu ya kushtukiza Wizara ya Fedha, imenisaidia kujua changamoto zinazoikabili wizara hii”

IMG_5422

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiambatana na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.  Servacius Likwelile alipotembelea ofisi za Wizara ya Fedha.

IMG_5434

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipata ufafanuzi kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.  Servacius Likwelile wakati wa ziara hiyo.

IMG_5475

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli  akiongea na uongozi wa Wizara ya Fedha.

Rais wa Jamhuri wa Muungano...

 

5 years ago

Michuzi

PITBULL AUNGANISHA ULIMWENGU KUPITIA MUZIKI

Msanii wa Muziki kutoka Marekani Armando Christian Perez maarufu kama Pitbull.
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMSANII wa Muziki kutoka Marekani Armando Christian Perez maarufu kama Pitbull  ametoa wimbo unaokwenda kwa jina la " I Believe That We Will Win" kwa maana ya 'Ninaamini Kwamba Tutashinda" ambao ni mahususi kwa ulimwengu mzima ambao kwa Sasa umekumbwa na janga la virusi vya Corona (Covid-19.)
Katika wimbo huo Pittbull ameeleza namna dunia itakavyoshinda dhidi ya virusi vya Corona ...

 

9 years ago

BBCSwahili

Magufuli azuru Wizara ya Fedha

Rais mpya wa Tanzania John Magufuli leo amefanya ziara ya kushtukiza katika makao makuu ya Wizara ya Fedha siku moja tu baada yake kuapishwa.

 

10 years ago

GPL

VIGOGO WIZARA YA UJENZI WAMKIMBIA MAGUFULI!

Stori: Makongoro Oging’ na Harun Sanchawa/UWAZI
Baadhi ya vigogo katika Wizara ya Ujenzi inayoongozwa na Dk. John Pombe Magufuli (pichani), wameikimbia wizara hiyo na kwenda sehemu nyingine kwa kile walichodai ni uongozi wa kibabe na unyanyasaji katika idara ya usalama barabarani na mazingira. Waziri ya Ujenzi Dk. John Pombe Magufuli. Uchunguzi uliofanywa na waandishi wetu wizarani hapo umebaini kuwa katika idara hiyo...

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli amteua Nape Wizara ya Michezo

nape1NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM

RAIS wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, ametangaza Baraza la Mawaziri na kumteua Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo.

Awali kabla ya uteuzi wa jana wa Serikali ya Awamu ya Tano, wizara hiyo ilikuwa chini ya mbunge wa kuteuliwa Dk. Fenella Mukangara na Naibu Waziri wake Juma Nkamia ambaye ni Mbunge wa Chemba.

Akitangaza baraza hilo jana jijini Dar es Salaam, Rais...

 

9 years ago

Mwananchi

Wizara ya Afya yawasaka waliokaidi amri ya Magufuli

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Donan Mmbando ameziagiza idara zote zinazotoa huduma chini ya ofisi yake kumpa ripoti ya watumishi waliokwenda nje ya nchi baada ya Rais John Magufuli kupiga marufuku safari hizo isipokuwa kwa kibali kutoka Ikulu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani