Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PITBULL AUNGANISHA ULIMWENGU KUPITIA MUZIKI

Msanii wa Muziki kutoka Marekani Armando Christian Perez maarufu kama Pitbull.
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMSANII wa Muziki kutoka Marekani Armando Christian Perez maarufu kama Pitbull  ametoa wimbo unaokwenda kwa jina la " I Believe That We Will Win" kwa maana ya 'Ninaamini Kwamba Tutashinda" ambao ni mahususi kwa ulimwengu mzima ambao kwa Sasa umekumbwa na janga la virusi vya Corona (Covid-19.)
Katika wimbo huo Pittbull ameeleza namna dunia itakavyoshinda dhidi ya virusi vya Corona ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

EFM kukutana na wasikilizaji wake kupitia Tamasha la Muziki Mnene

 Meneja Uhusiano wa Radio 93.7 EFM,Kanky Mwaigomole (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam leo,wakati akizungumzia kuwepo kwa Tamasha la "Muziki Mnene" lenye dhumuni la Radio hiyo kukutana na kuwashukuru wasikilizaji wake katika maeneo mbali mbali jijini Dar,kwa namna walivyoipikea Radio hilo na kuwa nayo pamoja hadi sasa.Katika Tamasha hilo la Muziki Mnene ambapo safari hii litafanyika Oktoba 4,2014 Ukonga Magereza.Wengine pichani ni Mhariri Mkuu...

 

9 years ago

Bongo5

Afande Sele aonesha mjengo alioujenga kupitia pesa ya muziki (Picha)

Afande Selle

Msanii mkongwe wa Hip Hop kutoka Morogoro, Afande Sele ameonesha nyumba aliyoijenga nje ya mji wa Morogoro kupitia pesa za muziki.

Afande Selle

Rapa huyo ambaye mwaka 2015 aligombea ubunge katika jimbo la Morogoro mjini kupitia ACT, ameiambia Bongo5 kuwa anakamilisha mjengo wake na kurudi kijijini.

“Muziki ulishatupaga heshima. Hii pia ndio culture yetu rasta hata Babu Burning Spear alirudi shamba. Huu ni wito FEEDTHE NATION,” amesema Afande.

Ameongeza,“Sijaacha muziki ila muziki ndio umeniacha....

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli akata, aunganisha wizara

Baada ya wiki sita za kusubiri kwa shauku, hatimaye Rais John Magufuli ametangaza baraza dogo la mawaziri lenye wizara 18 likiongozwa na mawaziri 19 na manaibu wao 15.

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli aunganisha CCM na wapinzani nchini

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli, ameanza mkakati wa kukusanya kura kutoka vyama tofauti, ikiwemo vyama vinavyounda kundi la Ukawa.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Jussie Smollett and Pitbull — No Doubt About It

Fresh off last night’s episode of “Empire” comes the video for “No Doubt About It” by Jussie Smollett (Jamal Lyon) and Pitbull, who wrote the uptempo EDM track alongside Ne-Yo. Directed by Gil Green (Diddy, Rick Ross), the clip was shot in Florida and takes place at a luxurious party at Empire Mansion. Jussie and […]

 

11 years ago

Mwananchi

Pitbull ang’ara uzinduzi Kombe la Dunia 2014

Kama uliangalia ufunguzi wa Kombe la Dunia ulipata bahati ya kumwona mwanamuziki Armando Christian Pérez mwenye umri wa miaka 33 ambaye jina lake la jukwaani anaitwa Pitbull, rapa mahiri kutoka nchini Marekani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani