VIGOGO WIZARA YA UJENZI WAMKIMBIA MAGUFULI!
![](http://api.ning.com:80/files/LXZYmTRupZ9brYadeQkWPuJJBYJwMcfMPB86pfU8AFt8gNKBlEWJnhK35TvQ98oqp95uaZSgNIKuLne0y8QeW3JTciGUw93u/VIGOGO.jpg)
Stori: Makongoro Oging’ na Harun Sanchawa/UWAZI Baadhi ya vigogo katika Wizara ya Ujenzi inayoongozwa na Dk. John Pombe Magufuli (pichani), wameikimbia wizara hiyo na kwenda sehemu nyingine kwa kile walichodai ni uongozi wa kibabe na unyanyasaji katika idara ya usalama barabarani na mazingira. Waziri ya Ujenzi Dk. John Pombe Magufuli. Uchunguzi uliofanywa na waandishi wetu wizarani hapo umebaini kuwa katika idara hiyo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/MwQy2AXyT58/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/9SOTVAOSyIE/default.jpg)
9 years ago
Habarileo20 Aug
Vigogo watatu wizara ya afya kizimbani
MAOFISA Utumishi watatu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, wakikabiliwa na mashitaka ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya Sh milioni 3.7.
10 years ago
Mwananchi25 Oct
Kamati ya Bunge yawatimua vigogo Wizara ya Kilimo
11 years ago
MichuziWAZIRI WA UJENZI DK. MAGUFULI AIFAGILIA NSSF UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI
Ujenzi wa daraja hilo umekamilika kwa asilimia 60 ambapo mpaka sasa NSSF imetoa sh. bilioni 117 kati ya Bilioni 214 zitakazokamilisha ujenzi wa daraja hilo.
Akizungumza leo jijini Dar es salaam, alipotembelea daraja kuona namna ujenzi unavyoendelea, Dk. Magufuli alisema kuwa ujenzi wa daraja hilo umekutana na changamoto nyingi ikiwemo kina kilichokuwa...
9 years ago
Dewji Blog07 Nov
Dk. Magufuli: “ Ziara yangu ya kushtukiza Wizara ya Fedha, imenisaidia kujua changamoto zinazoikabili wizara hii”
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiambatana na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile alipotembelea ofisi za Wizara ya Fedha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipata ufafanuzi kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile wakati wa ziara hiyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na uongozi wa Wizara ya Fedha.
Rais wa Jamhuri wa Muungano...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-7God4X-xLVU/Xtf2ZZ9LpOI/AAAAAAALsjY/Fx1OPFzKJ7UhdldmVAnjaYOF2vjYkY7LwCLcBGAsYHQ/s72-c/Screenshot%2B2020-06-03%2Bat%2B10.11.49%2BPM.png)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-7God4X-xLVU/Xtf2ZZ9LpOI/AAAAAAALsjY/Fx1OPFzKJ7UhdldmVAnjaYOF2vjYkY7LwCLcBGAsYHQ/s72-c/Screenshot%2B2020-06-03%2Bat%2B10.11.49%2BPM.png)
9 years ago
Michuzi05 Jan
NEWS ALERT:MWIGULU NCHEMBA ATIMUA VIGOGO WALIOKULA BILION 5.7 ZA UJENZI WA MACHINJIO YA KISASA RUVU
Hii leo,Mh:Mwigulu Nchemba mwenye dhamana ya Wizara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi amefanya ziara ya siku moja kwenye ranchi ya Taifa ya Ruvu kukagua ujenzi wa majengo ya machinjio ya kisasa ulioanza mwaka 2010.
Katika hali ya kusikitisha na kulazimu kuchukua hatua za...