Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamati ya Bunge yawatimua vigogo Wizara ya Kilimo

>Vigogo wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika akiwamo Katibu Mkuu Sophia Kaduma, wametimuliwa mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) baada ya kutoa majibu yasiyoridhisha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kamati ya Zitto yawatimua maofisa Wizara ya Kilimo

Mwenyekiti wa PAC, Kabwe ZittoKAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imewafukuza kwenye kikao timu ya Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika iliyoongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo,Sophia Kaduma na kuipa wiki mbili kutekeleza maagizo kisha kuifuata kamati hiyo mjini Dodoma.

 

10 years ago

Mwananchi

Kamati ya Zitto yawatimua vigogo wa TPDC

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), jana iligeuka ‘mwiba mkali’ kwa watendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Kampuni ya Ranchi ya Taifa (Narco) na Wizara ya Nishati na Madini, baada ya kuwatimua wakurugenzi na wenyeviti wa bodi kwa kushindwa kutoa maelezo ya kina kuhusu ubadhirifu wa fedha za umma, uzembe na wizi.

 

10 years ago

Michuzi

kamati ya bunge kilimo,maji na mifugo yafanya ziara mkoani morogoro

Kamati ya Bunge ya kilimo, maji na mifugo inayoongozwa na Mwenyekiti wake Prof. Peter Msola imefanya ziara katika mkoa wa Morogoro kwa kutembelea kijiji cha Fulwe,mradi wa maji wa Mambogo manispaa Morogoro na mradi maji mikumi.
Aidha tarehe 22 Januari ,2015 kamati hiyo itatembelea wilaya ya Kilolo na manispaa ya Iringa na tarehe 23 kamati itatembelea wilaya ya Rungwe.Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya kilimo, maji na mifugo,Prof. Peter Msola (shati nyeupe) akiongoza kamati yake kukagaua mradi...

 

10 years ago

GPL

KAMATI YA BUNGE KILIMO, MAJI NA MIFUGO YAFANYA ZIARA MKOANI MOROGORO

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya kilimo, maji na mifugo,Prof. Peter Msola (shati nyeupe) akiongoza kamati yake kukagua mradi wa maji wa Mambogo manispaa ya morogoro.Katikati ni Naibu Waziri wa Maji,Mh. Amos Makalla. Naibu Waziri wa Maji,Mh. Amos Makalla (kushoto) akiongea na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya kilimo, maji na mifugo,Prof. Peter Msola walipotembelea mradi… ...

 

10 years ago

Habarileo

Kamati ya Bunge yaibana Wizara ya Ardhi

KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeitaka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kutengeneza mpango wa upimaji maeneo ya makazi yasiyopimwa nchini ili yatambuliwe rasmi, lengo ni kuhakikisha serikali inakusanya fedha za kodi ya ardhi inayopotea, kutokana na nyumba nyingi kukosa hati ya umiliki.

 

10 years ago

Habarileo

Kamati ya Bunge yazibana wizara za Ardhi, Maliasili

Lembeli JamesKAMATI ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, imezitaka Wizara za Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na ile ya Maliasili na Utalii, kuhakikisha zinamaliza mgogoro wa ardhi uliopo katika eneo la Hifadhi ya Saadani bila kulitumia Bunge kwa maslahi yao binafsi.

 

10 years ago

StarTV

Kamati ya bunge maliasili, yaitupia lawama Wizara ya Ujenzi.

Na Immaculate Kilulya,

Dar Es Salaam.

 

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, imekataa kujadili Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii baada ya Wizara hiyo kukiuka makubaliano na kamati hiyo na kusababisha hasara kwa taifa baada ya kuziba mianya ya kuziingizia fedha hifadhi za taifa.

 

Miongoni mwa mianya hiyo ni pamoja na utaratibu wa kuingia kwenye hifadhi mara mbili uliosababisha hasara ya Shilingi bilioni 15 kwenye Hifadhi ya Ngorongoro, huku ucheleweshwaji wa tozo...

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YAPITISHA MAKADIRIO YA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI

Kamati ya Miundombinu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mapema wiki hii ilikutana na Watendaji wa Wizara ya Ujenzi kwa ajili ya kupitia maepndekezo ya bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2014/15.   Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli awali kabla ya kuwasilisha mapendekezo hayo kwanza alianza kwa kutoa tarifa ya utekelezaji kwa mwaka wa fedha wa 2013/14 ambapo Wizara ya Ujenzi ilitengewa Shilingi 381,205,760,000.00 kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida. Hadi...

 

10 years ago

Michuzi

Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji yatembelea Bwawa la Kuzalisha Umeme la Merowe,nchini Sudan

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji imetembelea Bwawa la Kuzalisha Umeme la Merowe katika Mji wa Merowe na kujionea namna ya wenyeji wanavyotumia maji ya Mto Nile kwa kuzalisha umeme wa kutosha kwa ajili ya mji huo na nchi nzima ya Sudan.
Mradi wa Bwawa la Merowe ni mkubwa katika nchi ya Sudan na mbali na kuzalisha umeme, pia unatumika kwa shughuli za kilimo cha umwagiliaji ambacho kwa aslimia mia kinategemea Mto Nile.
Aidha, mradi wa bwawa hilo pia umechangia kuleta...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani