Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIKU CAG LUDOVICK UTOUH ALIVYOFAFANUA BIL.252/- ZA WIZARA YA UJENZI AMBAZO DR.MAGUFULI ALISHUTUMIWA KUZITUMIA VIBAYA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

maalim seif akutana na bw. ludovick Utouh, wanahabari wa Global publishers leo dar es salaam

 Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiagana na Mdhibiti na Mkuaguzi Mkuu wa hesabu, Ludovick Utouh, baada na kumaliza mjadala wao aliofanyika ofisi kuu za CUF, Buguruni Dar es Salaam.  Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiagana na Mdhibiti na Mkuaguzi Mkuu wa hesabu, Ludovick Utouh, baada na kumaliza mjadala wao aliofanyika ofisi kuu za CUF, Buguruni Dar es Salaam.  Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Tanroads yafafanua matumizi ya bil. 252/-



                                                                                    NA EMMANUEL MOHAMED Mhandisi Mfugale PatrickMKURUGENZI wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi, Patrick Mfugale, amesema fedha zilizodaiwa kuibwa TANROADS, zilitumika kulipia madeni ya wakandarasi kinyume na ilivyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari. Mfugale amesema pesa hizo zilitolewa kwa ajili ya miradi mipya, lakini zikatumika kulipa madeni yaliyokuwa yanadaiwa na wakandarasi. Kigogo huyo...

 

10 years ago

Habarileo

CAG Utouh astaafu

ALIYEKUWA Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh ameagwa rasmi baada ya kustaafu wadhifa huo alioutumikia kwa miaka minane huku akilishukuru Bunge kwa kumpa ushirikiano wakati wa utumishi wake.

 

10 years ago

IPPmedia

Who will replace Utouh, the CAG?


Who will replace Utouh, the CAG?
IPPmedia
A Buzz has started in Dar es Salaam on who is likely to take over as Controller and Auditor General as the current CAG Ludovick Utouh prepares to leave office. The CAG's Office is one of the most high profile public functions, where personal style matters ...

 

10 years ago

Mtanzania

CAG Utouh amkaanga Muhongo

2 CAG (kushoto akifafanua) na (kulia) MhandoMSIMAMO wa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo wa kukataa kuwajibika baada ya kuhusishwa na kashfa ya ukwapuaji wa Sh bilioni 300 zilizokuwa zimehifadhiwa katika Akaunti ya Tegeta Escrow, sasa umeanza kutafasiriwa kuwa ni ung’ang’anizi wa madaraka.
Tafasiri hii imeanza kutolewa sasa ikiwa ni zaidi ya mwezi mmoja tangu Bunge la Jamhuri lilipopitisha maazimio nane yanayotakiwa kufanyiwa kazi na Serikali baada ya kutolewa ripoti ya uchunguzi wa kashfa ya Escrow, likiwemo la...

 

10 years ago

Mwananchi

CAG Utouh ameacha rekodi ya uchapakazi

Tunaungana na wote ambao wamempongeza kwa namna moja ama nyingine, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh ambaye amestaafu serikalini akiwa amejizolea sifa ya utumishi uliotukuka kwa miaka minane aliyokuwa katika nafasi hiyo.

 

10 years ago

TheCitizen

Utouh urges action on CAG findings

>Former Controller and Auditor General (CAG) Ludovick Utouh has urged Civil Society Organisations, media and other professional bodies to pressure the government to take action on CAG reports once they are made public.

 

11 years ago

Mwananchi

CAG Utouh achunguza Sh200 bilioni za IPTL

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) atatumia siku 45 kuchunguza kashfa ya ufisadi wa zaidi ya Sh200 bilioni zilizolipwa kwa Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL kutoka katika Akaunti ya Escrow.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani