Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanroads yafafanua matumizi ya bil. 252/-



                                                                                    NA EMMANUEL MOHAMED Mhandisi Mfugale PatrickMKURUGENZI wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi, Patrick Mfugale, amesema fedha zilizodaiwa kuibwa TANROADS, zilitumika kulipia madeni ya wakandarasi kinyume na ilivyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari. Mfugale amesema pesa hizo zilitolewa kwa ajili ya miradi mipya, lakini zikatumika kulipa madeni yaliyokuwa yanadaiwa na wakandarasi. Kigogo huyo...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

TANROADS Singida yatumia Shilingi bil 1.2 /- kutengeneza barabara

DSC02592

Kaimu meneja TANROADS mkoa wa Singida, Eng.Leonard Kapongo,akitoa ufafanuzi juu ya matengenezo ya barabara za ngazi ya mkoa,kwenye kikao cha 37 cha bodi ya barabara kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Social Training Centre mjini Singida.

Na Nathaniel Limu, Singida

WAKALA  wa barabara TANROADS Mkoa wa Sigida imetumia zaidi ya shilingi 1.2 bilioni  kugharamia matengenezo ya kawaida kwa barabara kuu yenye urefu wa kilometa 589.2 kati ya Aprili na Juni mwaka huu.

Hayo  yamesemwa na...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI BITEKO:SEKTA YA MADINI YAONGOZA KWA UKUAJI NCHINI. MAKUSANYO YAPAA KUTOKA BIL. 39 HADI BIL.58 APRILI



Nuru Mwasampeta na Tito Mselem,WM- Dodoma

WAZIRI wa Madini, Doto Biteko amesema ukuaji na mchango wa Sekta ya Madini kwenye pato la taifa unakua kwa kasi na kuwa mwaka 2019 mchango huo umeongezeka na kufikia asilimia 17.7 kutoka ukuaji wa asilimia 1.5 kwa mwaka 2018.
Amesema, kwa ukuaji huo sekta ya madini imeongoza sekta zote kwa ukuaji ikifuatiwa na sekta ya ujenzi ikiwa na ukuaji wa asilimia 14.1.
Ameongeza kuwa, wizara yake imekuwa ikikusanya kiasi cha wastani wa shilingi bilioni 39 kwa...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

TASAF yafafanua


NA Lisa Said, Tanga
MKURUGENZI Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleleo ya Jamii (TASAF), Ladislaus Mwamanga, amesema kuwa mfuko huo kutoa fedha kwa ajili ya kuziwezesha kaya masikini sio kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) bali ni mipango ya serikali kuleta unafuu wa kipato kwa wananchi wake.
Aliyasema hayo hivi karibuni katika kikao cha kazi kilichowashirikisha wadau wa mfuko huo kutoka Halmashauri za Mkoa wa Tanga, Pwani, Dar es Salaam na Zanzibar wakiwemo waratibu wa TASAF wilaya na mkoa,...

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yafafanua maoni ya Mwananchi

Serikali imelaani maoni ya Mhariri wa Mwananchi katika toleo la juzi ikidai yalikuwa na lengo la kupotosha mafanikio ya Rais Jakaya Kikwete na haiba ya Tanzania mbele ya Jumuiya ya Kimataifa.

 

10 years ago

Habarileo

Wizara yafafanua mafunzo ya walimu

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imesema Mafunzo ya Stashahada ya kawaida ya Elimu ya Msingi, yanatolewa kwa walimu waliopo kazini wanaofundisha katika shule za Msingi kwa sifa ya Cheti cha Ualimu wenye uzoefu usiopungua miaka miwili.

 

10 years ago

Mwananchi

Tamisemi yafafanua makosa yaliyojitokeza

Ofisi ya Waziri Mkuu, Tamisemi imetoa ufafanuzi wa mahitaji ya nembo ya chama na halmashauri katika fomu ya kugombea uongozi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ikikiri kufanyika kimakosa.

 

9 years ago

Habarileo

Serikali yafafanua mapumziko Des 9

SERIKALI imesema Sikukuu ya Uhuru ambayo huadhimishwa Desemba 9, kwa mwaka huu wafanyakazi wa umma hawatakwenda kazini, bali watabaki majumbani mwao kwa kushiriki kufanya usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali kama alivyoagiza Rais John Magufuli.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani