TASAF yafafanua
NA Lisa Said, Tanga
MKURUGENZI Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleleo ya Jamii (TASAF), Ladislaus Mwamanga, amesema kuwa mfuko huo kutoa fedha kwa ajili ya kuziwezesha kaya masikini sio kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) bali ni mipango ya serikali kuleta unafuu wa kipato kwa wananchi wake.
Aliyasema hayo hivi karibuni katika kikao cha kazi kilichowashirikisha wadau wa mfuko huo kutoka Halmashauri za Mkoa wa Tanga, Pwani, Dar es Salaam na Zanzibar wakiwemo waratibu wa TASAF wilaya na mkoa,...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima26 Feb
NECTA yafafanua utata wa matokeo
BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limetoa ufafanuzi kuhusu matokeo ya kidato cha nne yaliyotolewa wiki iliyopita, likisema kuwa ufaulu wa daraja la kwanza hadi la tatu unapangwa kwa kuzingatia alama...
11 years ago
Habarileo01 Jul
NEC yafafanua mfumo wa uandikishaji
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema mfumo mpya wa uandikishaji wa wapiga kura wa ‘Biometric Voter Registration Kit’ (BVR), utatumika kwa ajili ya kuandikisha wapiga kura tu, si kwa ajili ya upigaji kura kielektroniki.
9 years ago
Habarileo01 Dec
Serikali yafafanua mapumziko Des 9
SERIKALI imesema Sikukuu ya Uhuru ambayo huadhimishwa Desemba 9, kwa mwaka huu wafanyakazi wa umma hawatakwenda kazini, bali watabaki majumbani mwao kwa kushiriki kufanya usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali kama alivyoagiza Rais John Magufuli.
9 years ago
Mwananchi02 Oct
Serikali yafafanua maoni ya Mwananchi
10 years ago
Mwananchi24 Nov
Tamisemi yafafanua makosa yaliyojitokeza
10 years ago
Habarileo07 Nov
Wizara yafafanua mafunzo ya walimu
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imesema Mafunzo ya Stashahada ya kawaida ya Elimu ya Msingi, yanatolewa kwa walimu waliopo kazini wanaofundisha katika shule za Msingi kwa sifa ya Cheti cha Ualimu wenye uzoefu usiopungua miaka miwili.
10 years ago
Habarileo20 Jun
SSRA yafafanua kanuni za mafao
MAMLAKA ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) imesema kanuni mpya za uainishaji wa mafao ya pensheni kwa wanaostaafu kwa hiari, una lengo la kulinda na kutetea maslahi ya wanachama.
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
TPDC yafafanua mkataba wa StatOil
SERIKALI inatarajia kupata mgawo wa asilimia 61 wa gesi asilia kutoka kwa mwekezaji Kampuni ya StatOil ya nchini Norway inayojishughulisha na utafutaji wa mafuta na gesi kitalu namba mbili kilichopo...
11 years ago
Habarileo11 May
Serikali yafafanua kuhusu wakurugenzi Maliasili
SERIKALI imesema Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori, Profesa Alexander Songorwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Matumizi Endelevu ya Wanyamapori, Profesa Jafari Kideghesho, hawajawahi kufukuzwa kazi ama kuadhibiwa.