Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wizara yafafanua mafunzo ya walimu

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imesema Mafunzo ya Stashahada ya kawaida ya Elimu ya Msingi, yanatolewa kwa walimu waliopo kazini wanaofundisha katika shule za Msingi kwa sifa ya Cheti cha Ualimu wenye uzoefu usiopungua miaka miwili.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Serikali yafafanua kuchelewa kwa ajira za walimu nchini

Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu walimu waliomaliza masomo yao na kutopangiwa vituo vya kazi kuwa muda wa kufanya hivyo bado.

BREAKING NEWS, AJIRA ZIMETOKA!! SOMA HAPA AJIRA MPYA ZA WAALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14

<<< Bofya hapa >>>

 

5 years ago

Michuzi

SMZA YAFAFANUA ILIVYOFANIKIWA KUKABILIANA KWA KIASI KIKUBWA NA CORONA,YATOA MAELEKEZO WIZARA YA ELIMU NA AFYA

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imechukuwa uamuzi wa kulegeza baadhi ya mambo mambo kumi yaliyowekwa baada ya kufanikiwa kukabiliana kwa kiasi kikubwa na mripuko wa Virusi vya Coroma vilivyoleta mtafaruki katika Mataifa mbali mbali Duniani.Uamuzi huo wa SMZ Unaungana na ule uliochukuliwa na Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa kuviruhusu Vyuo vyote vya Elimu ya juu kuendelea na Programu zao kama kawaida kwa upande wa Zanzibar kuanzia Tarehe 1 Juni 2020.Akitoa Taarifa ya Serikali...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Walimu Karagwe waomba mafunzo JKT

WALIMU wa shule za msingi na sekondari wilayani Karagwe, wameitaka serikali kurudisha mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa mujibu wa sheria, ili kuwajengea ukakamavu katika maeneo yao ya...

 

10 years ago

Habarileo

Mafunzo ya walimu nusura yaingie dosari

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia.MAFUNZO maalumu ya kuboresha ufundishaji masomo kwa shule za sekondari mkoani Dodoma nusura yaingie dosari mbele ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia baada ya walimu kudai hawajalipwa tangu kuanza kwa mafunzo hayo.

 

10 years ago

GPL

TFF YAWAPA MAFUNZO YA UKOCHA WALIMU 20

Makocha hao wapya wakiwa mazoezini pamoja na watoto wadogo. ILI kuibua na kukuza vipaji vya wanamichezo nchini, Shirikisho la Soka Tanzania ‘TFF’ limetoa mafunzo ya ukocha kwa walimu ishirini (20) wa michezo wa…

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Walimu wagomea mafunzo wakidai posho


Walimu wagomea mafunzo wakidai posho 
NA CHIBURA MAKORONGO, SIMIYU
MAFUNZO kwa ajili ya walimu wa masomo ya sayansi mkoani Simiyu, yameingia dosari baada ya walimu kugoma wakidai posho.
Walimu 200 kutoka wilaya tano za mkoa huo, wanashiriki mafunzo hayo yenye lengo la kuwajengea uwezo, ambapo jana waligoma kuendelea wakitaka kufahamu mustakabali wa posho za kijikimu.
Habari za kuaminika zinasema walimu hao walifikia uamuzi huo baada ya kuhudhuria mafunzo hayo ya siku 10 kwa siku nne mfululizo...

 

9 years ago

Mwananchi

Mafunzo kwa walimu kunusuru anguko la elimu

Katika miaka ya hivi karibuni, taifa limeshuhudia anguko kubwa la kiwango cha ubora wa elimu nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Mafunzo kwa walimu nguzo ya elimu bora

“Sasa ninaifurahia kazi yangu. Ninajisikia vizuri kuwa mwalimu. Natamani BRN ingeanza tangu kitambo. Hata hivyo, naona mabadiliko makubwa yanakuja tukiendelea na kasi hii…”

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani