Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walimu Karagwe waomba mafunzo JKT

WALIMU wa shule za msingi na sekondari wilayani Karagwe, wameitaka serikali kurudisha mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa mujibu wa sheria, ili kuwajengea ukakamavu katika maeneo yao ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

TAWOMA waomba kupatiwa mafunzo

NA MWANDISHI WETU
MWENYEKITI wa Chama cha Wanawake Wachimbaji Madini Tanzania (TAWOMA), Eunice Negele, amesema wanakabiliwa na changamoto  ya elimu ya uchimbaji, biashara na madini.
Hayo aliyasema jana mjini Dar es Salaam, wakati wa mkutano mkuu wa chama hicho, unaofanyika kwa siku mbili kuanzia jana, uliofunguliwa na Kamishna Msaidizi wa Madini, Hamisi Komba, kutoka Wizara ya Nishati na Madini.
“Lengo la chama chetu ni kuwaunganisha wanawake wachimbaji pamoja na kusaidiana kutoka mahali...

 

11 years ago

Michuzi

WALIMU WANAOTAKIWA KUJIUNGA NA JKT WATAJWA

Hatimaye jeshi la kujenga taifa limetangaza majina ya walimu ambao wanatakiwa kupitia jkt kwa ajili ya mafunzo MAALUM kama ilivyo kwa kidato cha sita,yajulikanayo kama mafunzo kwa  mujibu wa sheria.
Walimu waliochaguliwa ni wa ngazi ya cheti ambao wamepangiwa vikosi vya kwenda.Kuangalia majina hayo tafadhali BOFYA hapo chini;

BUROMBOLA - KIGOMA

RWAMKOMA - MUSOMA

MSANGE - TABORA

KANEMBWA - KIGOMA

RUVU - PWANI

OLIJORO - ARUSHA

MGAMBO  - TANGA

MARAMBA - TANGA

MAFINGA -...

 

11 years ago

Mwananchi

Atakayekacha mafunzo JKT kushtakiwa

Vijana wasiopungua 45,000 watakaomaliza kidato cha sita watajiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa mujibu wa sheria na watakaokwepa mafunzo hayo ya miezi mitatu, watashtakiwa.

 

10 years ago

Vijimambo

SERIKALI YASITISHA MAFUNZO YA JKT

Baadhi ya vijana wanaochukua mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)Serikali imesitisha mafunzo ya JKT kwa mwaka huu. Kwa hiyo wale vijana waliokua wanategemea kuanza mafunzo hayo mwezi wa pili (tano) mwaka huu, mafunzo hayo hayatakuwepo tena.Wahitimu mafunzo ya awali ya kijeshi kenye kambi ya JKT Ruvu kikosi cha singe wakiwa katika maonyesho ya kivita kwenye sherehe za kuhitimu mafunzo hayoSababu ya kusitisha mafunzo hayo ni ukata unaoikabili serikali.Vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la...

 

10 years ago

Habarileo

RC ashauri waliopitia mafunzo JKT kujitegemea

Issa MachibyaMKUU wa mkoa Kigoma Issa Machibya amewataka walimu watarajiwa waliomaliza mafunzo katika kambi ya JKT Bulombora mkoani Kigoma kutumia mafunzo ya kujitegemea waliyopata wakati wa mafunzo kuanzisha miradi ya ujasiriamali ya kilimo ili kuongeza hali zao za kipato na kuimarisha uchumi wa familia zao.

 

10 years ago

Mtanzania

Vijana waliopata mafunzo JKT waandamana

Pg 1

 

 

 

 

 

 

 

Na Asifiwe George, Dar es Salaam,
VIJANA zaidi ya 300 waliopata mafunzo kupitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), wameandamana kwenda Ikulu kumwona Rais Jakaya Kikwete ili asikilize kilio chao na kupinga upendeleo wa ajira ndani ya jeshi.
Maandamano hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam jana kwa saa mbili asubuhi kwa vijana hao kujikusanya katika eneo la Jangwani huku wakiwa wameshika bendera nyekundu kupita barabara ya Morogoro, Umoja wa Mataifa hadi Taasisi ya Taifa ya Utafiti...

 

9 years ago

TheCitizen

Champs JKT Mbweni, Mafunzo clash in opener

Defending champions JKT Mbweni launch their Union netball league campaign against Zanzibar’s Mafunzo at Dar es Salaam Gymkhana Club ground today.

 

10 years ago

Habarileo

Wizara yafafanua mafunzo ya walimu

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imesema Mafunzo ya Stashahada ya kawaida ya Elimu ya Msingi, yanatolewa kwa walimu waliopo kazini wanaofundisha katika shule za Msingi kwa sifa ya Cheti cha Ualimu wenye uzoefu usiopungua miaka miwili.

 

10 years ago

Habarileo

Mafunzo ya walimu nusura yaingie dosari

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia.MAFUNZO maalumu ya kuboresha ufundishaji masomo kwa shule za sekondari mkoani Dodoma nusura yaingie dosari mbele ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia baada ya walimu kudai hawajalipwa tangu kuanza kwa mafunzo hayo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani