Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAWOMA waomba kupatiwa mafunzo

NA MWANDISHI WETU
MWENYEKITI wa Chama cha Wanawake Wachimbaji Madini Tanzania (TAWOMA), Eunice Negele, amesema wanakabiliwa na changamoto  ya elimu ya uchimbaji, biashara na madini.
Hayo aliyasema jana mjini Dar es Salaam, wakati wa mkutano mkuu wa chama hicho, unaofanyika kwa siku mbili kuanzia jana, uliofunguliwa na Kamishna Msaidizi wa Madini, Hamisi Komba, kutoka Wizara ya Nishati na Madini.
“Lengo la chama chetu ni kuwaunganisha wanawake wachimbaji pamoja na kusaidiana kutoka mahali...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Wachimbaji Wadogo wa Madini Manyoni Waomba kupatiwa Umeme


Wachimbaji wa Madini wakiendelea na shughuli za uchimbaji wa madini katika machimbo ya dhahabu yaliyopo katika eneo la Londoni wilayani Manyoni mkoani Singida tarehe 18 Aprili, 2020.
Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Singida, Mjiolojia Chone Malembo (kulia)akibadilishana mawazo na mmiliki wa mgodi wa Paulo Msalaba na Washirika, Martin Thomas (kushoto) katika machimbo ya dhahabu yaliyopo katika eneo la Londoni wilayani Manyoni mkoani Singida tarehe 18 Aprili, 2020. Mmiliki wa mgodi wa Paulo...

 

9 years ago

Michuzi

UVCCM ZANZIBAR WAOMBA KUPATIWA MRITHI WA MZEE KINGUNGE KUNOGESHA USHINDI WAO

 Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Mfenesini-Unguja ndugu Mbarouk Mrakib katikati akizungumza na Waandishi wa habari huko ofisini kwake Bububu kuhusu mambo mbali mbali ikiwa ni pamoja na kuomba kupatikana kwa Kamanda Mpya wa UVCC Taifa baada ya Mzee Kingunge kuvuliwa Ukamanda huo. Kulia kwake ni Kamanda wa UVCCM Wilaya ya Mfenesini Canal Msaafu Masoud Ali Khamis na kushoto ni Mjumbe wa Kamati tendaji UVCCM Wilaya Khadija Ramadhan Abdu. Picha na Faki Mjaka- Maelezo Zanzibar. Mwenyekiti wa UVCCM...

 

11 years ago

Michuzi

WAJASILIAMALI KUPATIWA MAFUNZO IRINGA


 Fredrick Mwakalebela mmoja wa wakufunzi watakaotoa mafunzo kwa wajasiliamali wa mkoa wa Iringa Feb 22 Mratibu wa semina ya ujasiliamali Anzawe Chaula akizungumza kuhusu semina hiyo ya februari 22 ofisini kwake. (Picha na Denis Mlowe) ========  =======  ========= WAJASILIAMALI KUPATIWA MAFUNZO IRINGA
Na Denis Mlowe,Iringa
KAMPUNI ya Vannedrick Tanzania limited (VTL) ya jijini Dar salaam kwa kushirikiana na Kituo cha Maendeleo,Haki na Utetezi TCDA cha mjini Iringa wameandaa semina ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Walimu Karagwe waomba mafunzo JKT

WALIMU wa shule za msingi na sekondari wilayani Karagwe, wameitaka serikali kurudisha mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa mujibu wa sheria, ili kuwajengea ukakamavu katika maeneo yao ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

TAWOMA wamlalamikia Waziri Muhongo

MWENYEKITI wa Chama cha Wachimbaji Madini Wanawake (TAWOMA), Eunice Negele, amelalamikia Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kwamba ana mpango wa kukiua chama hicho. Sambamba na hilo, Mwenyekiti...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zahanati Ibutamisuzi kupatiwa solar

MKUU wa Wilaya (DC) ya Igunga, Elibariki Kingu, ameahidi kuipatia Zahanati ya Ibutamisuzi iliyopo Kata ya Mbutu umeme wa jua (solar). Kingu alitoa ahadi hiyo juzi alipofanya ziara katika Kijiji...

 

10 years ago

Mwananchi

Watoto wapelekwe kupatiwa chanjo

Jana katika gazeti hili tulichapisha habari iliyokuwa ikielezea kuwa zaidi ya nusu ya wananchi wa Tanzania, walitarajiwa kuanza kupatiwa chanjo ya ugonjwa wa surua na rubella katika vituo vyote vya afya hapa nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vijiji nane kupatiwa umeme

VIJIJI nane vya wilaya ya Nzega vinatarajia kunufaika na mradi wa umeme kupitia Mpango Kabambe wa Umeme Vijijini Awamu ya Pili chini ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Naibu Waziri...

 

9 years ago

Michuzi

Changamoto za Pamba Kupatiwa Ufumbuzi

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika Bwana Zidikheri Mundeme amewataka wadau wa zao la pamba kuwalinda wakulima wadogo wa zao hilo kwa kuwapatia mbegu bora na madawa sahihi ili kuboresha zao hilo.
Akiongea wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau wa zao hilo kutoka Kenya, Brazili na vituo mbalimbali vya utafiti vya hapa nchini uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya White sand hivi karibuni,Bwana Mundeme amesema kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa nguvu za ziada...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani