Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Changamoto za Pamba Kupatiwa Ufumbuzi

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika Bwana Zidikheri Mundeme amewataka wadau wa zao la pamba kuwalinda wakulima wadogo wa zao hilo kwa kuwapatia mbegu bora na madawa sahihi ili kuboresha zao hilo.
Akiongea wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau wa zao hilo kutoka Kenya, Brazili na vituo mbalimbali vya utafiti vya hapa nchini uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya White sand hivi karibuni,Bwana Mundeme amesema kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa nguvu za ziada...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Changamoto za hedhi kwa wasichana zitafutiwe ufumbuzi wa kudumu

  Meneja Biashara wa Idara ya Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Grace Lyon akiwapa elimu kuhusiana na matumizi ya vitambaa vya hedhi baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi iliyopo Hydom Mkoa wa Manyara.Vodacom Foundation kupitia mradi wake wa Girl Pawa imelenga kuwawezesha wasichana  kutimiza ndoto za maisha yao kwa kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazowafanya  wasibaki nyuma katika masomo, kutojiamini na utoro mashuleni wanapokuwa kwenye vipindi vya hedhi.Mradi huu...

 

5 years ago

Michuzi

TBS Yazipatia Ufumbuzi Changamoto za Wadau Mikutano ya Mashauriano

Na Mwandishi Wetu, MwanzaSHIRIKA la la Viwango Tanzania (TBS), limeendelea kutumia mikutano ya mashauriano kati ya Serikali, wafanyabiashara na wawekezaji inayofanyika maeneo mbalimbali nchini kuzipatia ufumbuzi changamoto mbalimbali zinazowakabili wadau hao na kuwapatia elimu kuhusiana na majukumu ya shirika hilo.
Pia linatumia mikutano hiyo kueleza fursa zinazopatikana kwenye shirika hilo ikiwa ni pamoja na kuwapatia elimu wajasiriamali ili waweze kupatiwa bure alama ya ubora.
Mikutano hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

KIWANDA CHA PAMBA AMBACHO PAMBA YAKE ILITEKETEA KWA MOTO MKOANI SHINYANGA CHAPATA BIMA YAKE TOKA UAP

Baadhi ya maafisa wa Kampuni ya Bima ya UAP wakiwa na Meneja wa Kiwanda cha JIELONG Holdings Tanzania LTD Kiki Huwa Xu (kushoto) wakitenbelea kiwanda hicho kujionea shughuli za utendaji ikiwa ni pamoja na kuzungumza na uongozi wa kiwanda hicho mara baada ya kukipatia bima ya shilingi milioni themanini (80,000,000/=)  kufuatia kuunguliwa na pamba yake katika ghala la kuhifadhia lililopo kiwandani hapo.Mwanzoni mwa mwaka huu 2015 pamba iliyokuwa imehifadhiwa kwenye moja ya maghala katika...

 

10 years ago

GPL

UFUMBUZI WA MGOMO WA MADEREVA WANAPATIKANA

Waziri wa kazi na ajira mhe.Gaudencia Kabaka Waziri wa Kazi na Ajira Mhe. Gaudencia Kabaka amefanikiwa kumaliza mgomo wa madereva baada ya kutangaza kufuta agizo lililokuwa likiwataka madereva wa mabasi na malori kwenda kusoma tena katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Pia  Madereva kusoma, Serikali na Madereva wamekubaliana kukutana mwezi huu tarehe 18 kuzungumza njia mbadala ya kutumika. Yaliokuwa malalamiko ya...

 

11 years ago

Habarileo

Pinda ataka ufumbuzi uhaba wa madawati

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameutaka uongozi wa Mkoa wa Rukwa uhakikishe unamaliza tatizo la upungufu wa madawati ili watoto wa shule za msingi wasiendelee kukaa chini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Magufuli, Mwakyembe tafuteni ufumbuzi wa hili

UJENZI wa barabara ya Morogoro kutoka Posta hadi Kimara ulipoanza, kila raia anayetumia njia hiyo ya kuingia na kutoka nje ya Jiji la Dar es Salaam alishukuru na kuipongeza sana...

 

10 years ago

StarTV

Bodi ya PSPTB yaagizwa kutafuta ufumbuzi.

Na Ramadhani Mvungi, Arusha. 

 

Wizara ya Fedha imeitaka Bodi ya Wataalam wa Manunuzi na Ugavi (PSPTB) kutafuta ufumbuzi wa tatizo la kufanya manunuzi bila kuzingatia thamani halisi ya fedha.

 

Wizara hiyo pia imewataka waajiri kuacha kuwaajiri watumishi ambao hawajasajiliwa na bodi hiyo kufanya shughuli za ununuzi na ugavi.

 

Akifungua Mkutano wa 5 wa bodi ya PSPTB jijini Arusha, Naibu Waziri wa Fedha Adam Kighoma Malima ameiagiza bodi hiyo kutafuta ufumbuzi wa tatizo hilo kutokana na kila...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jokofu la maiti Bunda lapatiwa ufumbuzi

SERIKALI imeeleza kuwa tatizo la jokofu la kuhifadhia maiti lililokuwa limeharibika katika Hospitali Teule ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara limetafutiwa ufumbuzi.  Kauli hiyo ilitolewa bungeni mjini hapa jana na Naibu Waziri...

 

11 years ago

Mwananchi

Changamoto kwa Wafanyabiashara wadogo wapewa changamoto

Wafanyabiashara wadogo wametakiwa kuacha woga na kuanza kutumia taasisi za fedha kama njia rafiki na chachu ya maendeleo na kukuza mitaji yao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani