Jokofu la maiti Bunda lapatiwa ufumbuzi
SERIKALI imeeleza kuwa tatizo la jokofu la kuhifadhia maiti lililokuwa limeharibika katika Hospitali Teule ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara limetafutiwa ufumbuzi. Kauli hiyo ilitolewa bungeni mjini hapa jana na Naibu Waziri...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili13 Feb
Maiti za vichanga kwenye jokofu
Maiti za watoto wachanga zimekutwa kwenye mfuko mweusi wa plastiki wa kutunzia taka na kisha kuwekwa katika jokofu la familia moja.
11 years ago
Habarileo25 Mar
Sakata la kura ya siri, wazi lapatiwa dawa
BAADA ya mvutano kuhusu aina ya kura itakayotumika kupitisha vifungu vya rasimu ya Katiba, hatimaye Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ametangaza kutumika kwa njia ya maridhiano kumaliza utata.
11 years ago
BBCSwahili07 May
Jokofu kuwasaidia maskini Saudi Arabia
Mwanamume mmoja mjini Hail, nchini Saudi Aarabia amejitolea na kuweka Jokofu nje ya nyumba yake na kutoa wito kwa majirani kulijaza na vyakula ili kuwasaidia maskini.
10 years ago
BBCSwahili25 Mar
Awaua wanawe na kuwaweka ndani ya Jokofu
Mama mmoja amekamatwa kwa kuwafungia wanawe ndani ya jokofu katika jimbo la Detroit nchini Marekani
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-adxq4Bc2l64/U61F2KdbwLI/AAAAAAACkZI/ayUnrUUpTbM/s72-c/OB4b.jpg)
Shirika la Taifa la Utangazaji (TBC) lapatiwa msaada wa Gari la kisasa la kurushia matangazo kutoka kwa Serikali ya China
![](http://2.bp.blogspot.com/-adxq4Bc2l64/U61F2KdbwLI/AAAAAAACkZI/ayUnrUUpTbM/s1600/OB4b.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-49r17w9hxeM/U61F23B9DnI/AAAAAAACkZU/x3Ho51uCPyE/s1600/OB4c.jpg)
11 years ago
MichuziLG YAZINDUA JOKOFU LENYE UWEZO WA KUTUNZA UBARIDI KWA MUDA WA MASAA 7
11 years ago
GPLLG YAZINDUA JOKOFU LENYE UWEZO WA KUTUNZA UBARIDI KWA MUDA WA MASAA 7
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hotpoint Tanzania, Mayur Parikh ambao ni wasambazaji bidhaa za LG, akiwa na Meneja Masoko wa LG, Shakti Vellu (kulia) pamoja na mfanyakazi wa kampuni hiyo wakizindua jokofu lenye uwezo wa kuhifadhi ubaridi kwa muda mrefu. Uzinduzi huo ulifanyika leo jijini Dar es Salaam.
 Zoezi la kuzindua likiwa… ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sT-mI3qB-hc1LJuR7YNKx-0HkET*StZUYeaR41R8eVa3UlDWX2Ei-GlHeZkL7fBLZgM06Kwd0AqoAKZunU8AadttonF53Rj9/WaziriwaKazinaAjiraBi.GaudensiaKabaka..jpg?width=650)
UFUMBUZI WA MGOMO WA MADEREVA WANAPATIKANA
Waziri wa kazi na ajira mhe.Gaudencia Kabaka Waziri wa Kazi na Ajira Mhe. Gaudencia Kabaka amefanikiwa kumaliza mgomo wa madereva baada ya kutangaza kufuta agizo lililokuwa likiwataka madereva wa mabasi na malori kwenda kusoma tena katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Pia  Madereva kusoma, Serikali na Madereva wamekubaliana kukutana mwezi huu tarehe 18 kuzungumza njia mbadala ya kutumika. Yaliokuwa malalamiko ya...
9 years ago
MichuziChangamoto za Pamba Kupatiwa Ufumbuzi
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika Bwana Zidikheri Mundeme amewataka wadau wa zao la pamba kuwalinda wakulima wadogo wa zao hilo kwa kuwapatia mbegu bora na madawa sahihi ili kuboresha zao hilo.
Akiongea wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau wa zao hilo kutoka Kenya, Brazili na vituo mbalimbali vya utafiti vya hapa nchini uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya White sand hivi karibuni,Bwana Mundeme amesema kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa nguvu za ziada...
Akiongea wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau wa zao hilo kutoka Kenya, Brazili na vituo mbalimbali vya utafiti vya hapa nchini uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya White sand hivi karibuni,Bwana Mundeme amesema kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa nguvu za ziada...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania