Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LG YAZINDUA JOKOFU LENYE UWEZO WA KUTUNZA UBARIDI KWA MUDA WA MASAA 7‏

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hotpoint Tanzania, Mayur Parikh ambao ni wasambazaji bidhaa za LG, akiwa na Meneja Masoko wa LG, Shakti Vellu (kulia) pamoja na mfanyakazi wa kampuni hiyo wakizindua jokofu lenye uwezo wa kuhifadhi ubaridi kwa muda mrefu. Uzinduzi huo ulifanyika leo jijini Dar es Salaam.
 Zoezi la kuzindua likiwa… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

LG YAZINDUA JOKOFU LENYE UWEZO WA KUTUNZA UBARIDI KWA MUDA WA MASAA 7

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hotpoint Tanzania, Mayur Parikh ambao ni wasambazaji bidhaa za LG, akiwa na Meneja Masoko wa LG, Shakti Vellu (kulia) pamoja na mfanyakazi wa kampuni hiyo wakizindua jokofu lenye uwezo wa kuhifadhi ubaridi kwa muda mrefu. Uzinduzi huo ulifanyika leo jijini Dar es Salaam.   Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hotpoint Tanzania, Mayur Parikh ambao ni wasambazaji bidhaa za LG, akifungua jokofu hilo mbele ya waandishi wa habari ambao hawapo pichani....

 

9 years ago

Dewji Blog

Castle LITE yazindua nembo mpya inayotambulisha ubaridi wa kinywaji

Lite pix 7

Meneja wa bia ya Castle LITE nchini,Victoria Kimaro akitambulisha nembo mpya ya bia hiyo ikiwa baridi wakati hafla ya uzinduzi wake kwenye hafla iliyofanyika kwenye baa ya Break Point-Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

lite pix 2

Baadhi ya wageni waliohudhuria hafla uzinduzi wa nembo mpya ya Castle LITE inayobadilika rangi na kuwa bluu inapokuwa kwenye ubaridi sahihi mpya ya kinywaji hicho  wakipatiwa maelezo juu ya mabadiliko hayo ya nembo .Hafla hiyo ilifanyika kwenye baa ya Break...

 

9 years ago

Michuzi

ZANTEL YAZINDUA OFA MPYA YA MUDA WA ZIADA KWA WATEJA WAKE

 Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Pratap Ghose akizungumza wakati wa kuzindua ofa mpya ya Kula Tano kwa wateja wa Zantel, ambayo inawazawadia wateja wao dakika za bure kwa kupokea simu zao.  Meneja wa Zantel, Deus Mtena akizungumza wakati wa uzinduzi wa ofa ya Kula Tano katika ofisi za Zantel, Anayetazama kushoto ni Meneja wa Huduma, Ashish Singh. Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Pratap Ghose akigawa vipeperushi vya ofa ya Kula Tano baada ya kuizindua katika ofisi za Zantel.
KAMPUNI ya simu ya Zantel leo...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA ASAFIRI KWA MASAA 14 KWENYE ZIWA VICTORIA KWENDA KISIWANI IRUGWA NA KUTUMIA MASAA MANNE MENGINE KWENDA KISIWA CHA UKARA KISI

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia wakazi wa kijiji cha Sambi kata ya Irugwa, wilayani Ukerewe waliojitokeza kwa wingi kumpokea ,Kinana ameweka historia kwa kuwa kiongozi wa kwanza kufika katika kisiwa hicho akiwa kwenye ziara ya kukagua,kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi pamoja na kukagua uhai wa Chama.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimina na mmoja wa wakazi wa kata ya IrungwaKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia...

 

10 years ago

Dewji Blog

Benki ya I&M yazindua huduma ya kwanza ya mfumo wa Kielektroniki ya masaa 24 jijini Dar

1

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya I&M, Anurag Doreha  (kushoto) akiongea na wadau wa benki hiyo hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa tawi  na mfumo mpya wa kielektroniki uliovumbuliwa na Smart Banking Solutions Ltd ambapo mteja anaweza kuweka na kutoa pesa  sambamba na kupata huduma nyingine za kibenki kama kubadilisha fedha za kigeni kwa kutumia mashine za kielektroniki masaa 24 ya siku.Hafla hiyo ilifanyika Viva Tower-Posta jijini Dar es Salaam, Kulia ni Meneja wa I&M wa tawi hilo Bi. Shabina...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA I&M YAZINDUA HUDUMA YA KWANZA YA MFUMO WA KIELEKTRONIKI YA MASAA 24 KATIKA JENGO LA VIVA TOWERS, JIJINI DAR

Mkurugenzi Mkuu wa VIVA Tower Viral Manek, akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa tawi jipya la Benki ya I&M katika jengo hilo litakalotoa huduma masaa 24, kwa kuweka na kutoa fedha na kubadilisha fedha za kigeni kwa kutumia mfumo mpya wa mashine za kieletroniki (ATMs). Kushoto ni mkurugenzi mkuu wa benki hiyo, Bw. Anurag Doreha, Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya I&M, Anurag Doreha (katikati) akifafanua jambo baada ya uzinduzi wa tawi jipya la...

 

10 years ago

GPL

UWEZO WA VYUO VIKUU KUCHUKUA WANAFUNZI WA SAYANSI BADO CHANGAMOTO KWA TANZANIA KUTIMIZA MALENGO YA EFA‏

Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Ufundi nchini Tanzania Mh. Dkt. Shukuru Kawambwa akifungua mkutano wa kimataifa wa kutathmini mafanikio na changamoto za utekelezaji wa malengo ya Mpango wa Kimataifa wa Elimu kwa Wote-EFA uliofanyika jijini Dar Es Salaam ambapo amesema tangu mwaka 2000 Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuelekea kutimiza malengo ya Mpango huo ikiwa ni utashi wa kisiasa na kuwajibika vikisaidiwa na kujitolea kwa...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA HUDUMA YA KUFANYA MALIPO KWA KUTUMIA KADI‏

Mfanyabiashara na mmiliki wa duka la dawa katika eneo la Mrombo Arusha Bi elizabeth mshana akiongea na Afisa Uhusiano wa Airtel Jane Matinde juu ya huduma ya kufanya malipo kwa kutumia kadi ya Airtel Money Near Field Communication (NFC) based solution ya  Airtel Money. kadi hii maalum inamuwezesha mteja kufanya malipo kwa haraka kwa kugusisha kwenye kifaa maalum tu mara moja, kisha kuweka nambari ya siri na kufanya malipo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani