Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Castle LITE yazindua nembo mpya inayotambulisha ubaridi wa kinywaji

Lite pix 7

Meneja wa bia ya Castle LITE nchini,Victoria Kimaro akitambulisha nembo mpya ya bia hiyo ikiwa baridi wakati hafla ya uzinduzi wake kwenye hafla iliyofanyika kwenye baa ya Break Point-Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

lite pix 2

Baadhi ya wageni waliohudhuria hafla uzinduzi wa nembo mpya ya Castle LITE inayobadilika rangi na kuwa bluu inapokuwa kwenye ubaridi sahihi mpya ya kinywaji hicho  wakipatiwa maelezo juu ya mabadiliko hayo ya nembo .Hafla hiyo ilifanyika kwenye baa ya Break...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BIA YA CASTLE LITE YAZINDUA PROMOSHENI YA “LITE UP THE WEEKEND”

Meneja msaidizi wa Castle Lite, Victoria Kimaro akizungumza katika uzinduzi wa kampeni ya shindano la Lite Up The Weekend ambapo washindi watajipatia VIP tiketi ya kushiriki katika Yacht Party. Katikati ni Meneja wa Castle Lite Geofray Makau na pembeni ni meneja masoko wa Castle Lite Vimal Vaghmaria. Wanahabari wakielekea eneo la maegesho ya Yacht itakayotumika katika kilele cha cha kampeni ya Lite Up The Weekend.… ...

 

11 years ago

Michuzi

Castle lite Yazindua Promosheni ya Lite up the wekeend.!

 Meneja masoko wa bia ya Castle lite Vimal Vaghmaria  kushoto mwenye miwani,Meneja wa Castle lite  Geofray makau   katikati na Meneja msaidizi wa Castle lite Tanzania Victoria kimaro wakionyesha chupa ya bia hiyo kwenye uzinduzi wa kampeni ya shindano la kuwapata washindi wa Castle lite VIP Yacht Party ambapo washindi watafanya tamasha kubwa ndani ya Boti katika bahari ya Hindi.  Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria uzinduzi huo katika Hotel ya Slip way washindi wa Castle lite VIP...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Castle Lite yazindua Lite Up

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) kupitia kinywaji chake cha Castle Lite, jana ilizindua promosheni maalum ya ‘Lite Up The Weekend’ itakayoendeshwa kwa muda wa miezi mitatu. Kwa mujibu wa Meneja...

 

11 years ago

Michuzi

LG YAZINDUA JOKOFU LENYE UWEZO WA KUTUNZA UBARIDI KWA MUDA WA MASAA 7

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hotpoint Tanzania, Mayur Parikh ambao ni wasambazaji bidhaa za LG, akiwa na Meneja Masoko wa LG, Shakti Vellu (kulia) pamoja na mfanyakazi wa kampuni hiyo wakizindua jokofu lenye uwezo wa kuhifadhi ubaridi kwa muda mrefu. Uzinduzi huo ulifanyika leo jijini Dar es Salaam.   Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hotpoint Tanzania, Mayur Parikh ambao ni wasambazaji bidhaa za LG, akifungua jokofu hilo mbele ya waandishi wa habari ambao hawapo pichani....

 

10 years ago

Michuzi

Castle lite yataja washindi sita wa wiki ya kwanza kwenye shindano la Casttlelite Yachy Party.

Meneja msaidizi  wa bia ya castle lite Victoria Kimaro kushoto akizungungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam alipokuwa akiwatangaza washindi sita wa wiki ya kwanza katika shindano la promosheni ya Castle lite Yacht Party ambapo baadae watapatikana washindi watakaojishindia zawadi kubwa ya kushiriki katika burudani itakayofanyika katika kisiwa kwenye Bahari ya Hindi na kulia kwake ni meneja wa bia hiyo Geoffray Makau.Sehemu ya waandishi mbalimbali wa vyombo vya habari wakiwa...

 

11 years ago

GPL

LG YAZINDUA JOKOFU LENYE UWEZO WA KUTUNZA UBARIDI KWA MUDA WA MASAA 7‏

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hotpoint Tanzania, Mayur Parikh ambao ni wasambazaji bidhaa za LG, akiwa na Meneja Masoko wa LG, Shakti Vellu (kulia) pamoja na mfanyakazi wa kampuni hiyo wakizindua jokofu lenye uwezo wa kuhifadhi ubaridi kwa muda mrefu. Uzinduzi huo ulifanyika leo jijini Dar es Salaam.
 Zoezi la kuzindua likiwa… ...

 

10 years ago

Michuzi

TRIPLE A FM YAZINDUA NEMBO YA RADIO HIYO ARUSHA

PICHANI ni naibu waziri wa habari Vijana,utamaduni na michezo Juma Nkamia akiwa na Bodi ya wakurugenzi wa kampuni ya The blue Triple A Ltd kushoto na kulia  mwa Naibu Waziri Nkamia ni Wakurugenzi wa kampuni hiyo Bi&Bwa Papaa King Mollel wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya naibu waziri kuizundua nembo ya kituo cha Radio cha Triple A fm cha jijini hapa wakti wa sherehe hizo za uzinduzi wa nembo hiyo  jijini hapa mwishoni mwa wiki .Picha na Mahmoud Ahmad wa globu ya jamii Arusha

 

10 years ago

Michuzi

TDL YAZINDUA KINYWAJI KIPYA CHA KIMATAIFA, FYFE'S SCOTCH WHISKY KATIKA SOKO LA TANZANIA

KAMPUNI ya Tanzania Distilleries Ltd (TDL) imeendelea kujitanua katika soko nchini baada ya kuzindua kinywaji kipya cha kimataifa kiitwacho Fyfe's Scotch Whisky.
Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa kinywaji hicho Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mtendaji wa TDL, David Mgwassa alisema Fyfe's ni kinywaji maridhawa kinachoandaliwa kikamilifu kikiwa na radha murua na ya kipee.
"Ubora wa kinywaji hiki unatokana na umahiri mkubwa wa waandaaji na pia unatokana kimea na nafaka bora...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani