Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TRIPLE A FM YAZINDUA NEMBO YA RADIO HIYO ARUSHA

PICHANI ni naibu waziri wa habari Vijana,utamaduni na michezo Juma Nkamia akiwa na Bodi ya wakurugenzi wa kampuni ya The blue Triple A Ltd kushoto na kulia  mwa Naibu Waziri Nkamia ni Wakurugenzi wa kampuni hiyo Bi&Bwa Papaa King Mollel wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya naibu waziri kuizundua nembo ya kituo cha Radio cha Triple A fm cha jijini hapa wakti wa sherehe hizo za uzinduzi wa nembo hiyo  jijini hapa mwishoni mwa wiki .Picha na Mahmoud Ahmad wa globu ya jamii Arusha

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Castle LITE yazindua nembo mpya inayotambulisha ubaridi wa kinywaji

Lite pix 7

Meneja wa bia ya Castle LITE nchini,Victoria Kimaro akitambulisha nembo mpya ya bia hiyo ikiwa baridi wakati hafla ya uzinduzi wake kwenye hafla iliyofanyika kwenye baa ya Break Point-Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

lite pix 2

Baadhi ya wageni waliohudhuria hafla uzinduzi wa nembo mpya ya Castle LITE inayobadilika rangi na kuwa bluu inapokuwa kwenye ubaridi sahihi mpya ya kinywaji hicho  wakipatiwa maelezo juu ya mabadiliko hayo ya nembo .Hafla hiyo ilifanyika kwenye baa ya Break...

 

11 years ago

GPL

WEMA, KAJALA, AUNT WAFUNIKA TRIPLE A JIJINI ARUSHA

Kajala, Wema, Aunt na Zamaradi wakiwa katika pozi tofauti. ....Wakiwa pamoja na Mirror tayari kwa ajili ya kwenda kwenye Show, klabu ya  Triple A.…

 

10 years ago

Michuzi

FM ACADEMIA KUTUA ARUSHA KWA KISHINDO KUZINDUA ALBAMU YAO MPYA SEPTEMBER 5 VIWANJA VYA UKUMBI WA TRIPLE A

 wasanii wa bendi ya fm Academia wakiwa jukwaani wanaimba wapili kulia ni Rais wa bendi Nyoshi Rapa wa bendi  ya Fm Academia akiwa anashambulia jukwaa wakati wa shoo.wanenguaji wa bendi ya Fm wakiwa kazini  wote hawa watakuwepo katika  uzinduzi huu wa Albamu ya Chuki ya nini usikose ni balaaFm  Academia baada ya kukaa kwa muda wa miaka 4 (minne) yaani kuanzia mwaka 2010 mpaka 2013 sasa wanatarajia kuzindua rasmi  album mpya kabisa inayojulikana kwa jina la Chuki ya nini ndani ya jiji la...

 

10 years ago

Michuzi

Radio Magic FM 92.9 yazindua masfa yake na kusherehekea miaka 15 ya uwepo wake kwa kishindo mkoani mtwara

Katika hali isiyo ya kawaida wakazi wa mtwara na viunga vyake wakionekana kujitokeza kwa wingi kwenye sherehe za uzinduzi wa masafa ya 92.9 ya kituo cha radio magic Fm inayomilikiw na Africa media group limited ya jijini dar es salaam.Uzinduzi huo ambao ulikwenda sambamba na sherehe za kumbukumbu za miaka 14 ya radio magic Fm ulupambwa na nyota wa muziki wa mwambao mzee yusuphu, pamoja na wasanii nyota wa Bongo Fleva Lady Jaydee  na Ommy Dimpoz pamoja na Mfalme wa taarabu nchini Mzee Yusuf...

 

10 years ago

Michuzi

RADIO 5 YASHINDA NAFASI YA KWANZA MAONYESHOA YA NANENANE ARUSHA

SAM_4950Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sera Mahusiano na Uratibu Dkt.Mary Nagu akiwa anamkabidhi kikombe Meneja masoko na mawasiliano Sarah Lazaro Keiya mara baada yakituo cha Radio5 kutangazwa washindi wa kwanza kwa upande wa Radio na wapili katika sekta nzima ya mawasiliano katika kilele cha sherehe za sikukuu ya Wakulima nanenane na maonyesho ya kilimo Kanda ya Kaskazini yaliyofanyika katika uwanja wa maonyeshoThemi Mkoani Arusha(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)SAM_4952Meneja masoko na...

 

10 years ago

Michuzi

WEMA SEPETU ATEMBELEA STUDIO ZA RADIO 5 JIJINI ARUSHA

SAM_1388
Wema Sepetu akiwa ndani ya studio za Radio 5 jana mara baada yan kufanya ziara fupi mjengoni hapo akielezea pia kuhusu show yake ya black and white party iliyofanyika jana usiku tarehe 7/3/2015 jijini Arusha kushoto ni mtangazaji mahiri wa kituo hicho Wilfredy akiwa anafanya kipindi na mwanadada huyo, Wanaonekana pichani ni team Wema.(Habari Picha na Pamela Mlollel wa jamiiblog)SAM_1387
Wema Sepetu akiwa anaeleza furaha yake yakuwepo jiji Arusha ambapo amesema jiji la Arusha ni miongoni mwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kituo cha Radio 5 chashinda nafasi ya kwanza maonyesho ya Nanenane Arusha

 

unnamed

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sera Mahusiano na Uratibu Dkt.Mary Nagu akikabidhi kikombe Meneja masoko na mawasiliano Sarah Lazaro Keiya mara baada yakituo cha Radio5 kutangazwa washindi wa kwanza kwa upande wa Radio na wapili katika sekta nzima ya mawasiliano katika kilele cha sherehe za sikukuu ya Wakulima nanenane na maonyesho ya kilimo Kanda ya Kaskazini yaliyofanyika katika uwanja wa maonyeshoThemi Mkoani Arusha(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).

unnamed (1)

Meneja masoko na...

 

10 years ago

Michuzi

Baraza la madiwani Wilaya ya Arusha mjini lakutana kujadili bajet ya halmashauri hiyo kwa mwaka 2015/16

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi,Goodluck Ole Medeye akifafanua jambo katika kikao cha Baraza la madiwani kilichojadili bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Arusha mjini kwa mwaka 2015/2016 ambapo kiasi cha shilingi bilioni 42.7 zimetengwa kusaidia upatikanaji wa huduma za maji,afya na elimu kama vipaumbele vikuu.Kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Arusha,Fidelis Lumato,Mwenyekiti wa Halmashauri Saimon Saning`o na kaimu Mwenyekiti Anna Agatha Msuya.Kikao hicho kilifanyika...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kituo cha Radio 5 Arusha — chasaka wasanii wenye vipaji mtaani jijini Dar

????????????????????????????????????

Wasanii wenye vipaji vya kuimba wakihakiki majina yao kwa DJ Haazu, wa Radio 5 wakati wa mchakato wa RADIO 5 KAMATA KIPAJI uliofanyika katika viwanja vya TP SINZA Jijini Dar es salaam Septemba 12, 2015.wenye lengo la kusaka vijana wenye vipaji na kuwainua kutokana na vipaji vyao.(PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON-FULLSHANGWEBLOG).

Katika kuonyesha kuwa wapo karibu na vijana wa Kitanzania katika kuwasaidia kuwainua kiuchumi na kiuwezo,kituo cha Radio maarufu kutoka kaskazini mwa Tanzania ARUSHA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani