Castle lite yataja washindi sita wa wiki ya kwanza kwenye shindano la Casttlelite Yachy Party.
Meneja msaidizi wa bia ya castle lite Victoria Kimaro kushoto akizungungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam alipokuwa akiwatangaza washindi sita wa wiki ya kwanza katika shindano la promosheni ya Castle lite Yacht Party ambapo baadae watapatikana washindi watakaojishindia zawadi kubwa ya kushiriki katika burudani itakayofanyika katika kisiwa kwenye Bahari ya Hindi na kulia kwake ni meneja wa bia hiyo Geoffray Makau.Sehemu ya waandishi mbalimbali wa vyombo vya habari wakiwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLBIA YA CASTLE LITE YAZINDUA PROMOSHENI YA “LITE UP THE WEEKEND”
11 years ago
MichuziCastle lite Yazindua Promosheni ya Lite up the wekeend.!
10 years ago
Tanzania Daima29 Aug
Castle Lite yazindua Lite Up
KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) kupitia kinywaji chake cha Castle Lite, jana ilizindua promosheni maalum ya ‘Lite Up The Weekend’ itakayoendeshwa kwa muda wa miezi mitatu. Kwa mujibu wa Meneja...
11 years ago
MichuziWIKI TATU KUELEKEA FAINALI YA SHINDANO LA TANZANIA MPVIE TALENTS (TMT), WASHIRIKI WENGINE WAWILI WAAGA SHINDANO WIKI HII
9 years ago
Dewji Blog06 Dec
Castle LITE yazindua nembo mpya inayotambulisha ubaridi wa kinywaji
Meneja wa bia ya Castle LITE nchini,Victoria Kimaro akitambulisha nembo mpya ya bia hiyo ikiwa baridi wakati hafla ya uzinduzi wake kwenye hafla iliyofanyika kwenye baa ya Break Point-Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wageni waliohudhuria hafla uzinduzi wa nembo mpya ya Castle LITE inayobadilika rangi na kuwa bluu inapokuwa kwenye ubaridi sahihi mpya ya kinywaji hicho wakipatiwa maelezo juu ya mabadiliko hayo ya nembo .Hafla hiyo ilifanyika kwenye baa ya Break...
9 years ago
Dewji Blog19 Aug
Kisuma na Safari Resort Baa za wiki kwenye shindano la Tusker Fanyakweli Kiwanjani
Mkazi wa Mwembeyanga Bw. Frank Kabisi (katikati) akifurahia zawadi yake ya mfuko na Tisheti alizopewa wakati wa wa hafla ya kuipongeza baa ya Kisuma iliyopo Mwembeyanga Tandika mara baada ya baa hiyo kuibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker toka kampuni ya bia ya Serengeti. (Kushoto) ni Mshereheshaji wa promosheni ya Fanyakweli Kiwanjani na Tusker Gadner Habbash na (kulia) ni balozi wa bia hiyo Bi. Veronica Mbilinyi.
Mkazi wa...
5 years ago
MichuziSERIKALI YATANGAZA WASHINDI WA MAKISATU, WASHINDI WA KWANZA KUJINYAKULIA KITITA CHA SH MILIONI TANO
Charles James, Michuzi TV
SERIKALI imetangaza washindi wa Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) kwa Mwaka 2020 ambayo kilele chake kilifanyika Machi 16-18 mwaka huu katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma na mshindi wa kwanza kujinyakulia kitita cha Sh Milioni Tano.
Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dodoma leo wakati wa kutangaza washindi hao kutoka kada mbalimbali pamoja na zawadi watakazopata, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Joyce Ndalichako...
11 years ago
GPLWIKI 3 KUELEKEA FAINALI YA SHINDANO LA TMT, WASHIRIKI WENGINE 2VWAAGA SHINDANO
9 years ago
Bongo526 Nov
Album ya Adele ‘25’ kuuza nakala milioni 3 Marekani pekee kwenye wiki ya kwanza
Album mpya ya Adele, 25 inatarajiwa kuuza nakala milioni 3 nchini Marekani katika wiki yake ya kwanza kwa mujibu wa kampuni ya Nielsen Music.
Hadi November 24 album hiyo ilikuwa imeuza kopi milioni 2.8. Miongoni mwa hizo, milioni 1.45 zimeuzwa mtandaoni kwenye iTunes.
25 imeshazidi hadi rekodi ya mauzo ya album kwa wiki mbili tangu kampuni ya Nielsen ilivyoanza kufuatilia mauzo ya album mwaka 1991.
Rekodi ya awali ilishikiliwa na album ya *NSYNC, No Strings Attached iliyouza kopi 2,416,000...