Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIWANDA CHA PAMBA AMBACHO PAMBA YAKE ILITEKETEA KWA MOTO MKOANI SHINYANGA CHAPATA BIMA YAKE TOKA UAP

Baadhi ya maafisa wa Kampuni ya Bima ya UAP wakiwa na Meneja wa Kiwanda cha JIELONG Holdings Tanzania LTD Kiki Huwa Xu (kushoto) wakitenbelea kiwanda hicho kujionea shughuli za utendaji ikiwa ni pamoja na kuzungumza na uongozi wa kiwanda hicho mara baada ya kukipatia bima ya shilingi milioni themanini (80,000,000/=)  kufuatia kuunguliwa na pamba yake katika ghala la kuhifadhia lililopo kiwandani hapo.Mwanzoni mwa mwaka huu 2015 pamba iliyokuwa imehifadhiwa kwenye moja ya maghala katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI ZUNGU AFANYA ZIARA KIWANDA CHA OCEAN ALLUMINIUM AMBACHO SHEHENA YA MALIGHAFI YAKE IMEKWAMA BANDARINI

 Waziri Zungu akikagua bidhaa za Sufuria zinazozalishwa na kiwanda cha Ocean Alluminium wakati alipofanya ziara kiwandani hapo. Picha na Charles Kombe Waziri Zungu akikagua baadhi ya nyaraka mbalimbali za kimazingira za kiwanda cha Ocean Alluminium alipofika katika kiwanda hicho. Picha na Charles Kombe
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mussa Azzan Zungu (Kulia) akiambatana na Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira wakati...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOANI TABORA,ALA CHAKULA CHA MAMALISHE KUWAUNGA MKONO,AHITIMISHA ZIARA YAKE KWA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA/

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Stendi Kuu ya Zamani mjini Tabora, baada ya kumaliza ziara yake ya siku 11 katika mkoa huo, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kuhimiza na kusukuma miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata  Ilani ya CCM, kukagua maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi Wakazi wa Mji wa Tabora Mjini  wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mvua zaathiri hekta 2,000 za zao la Pamba Mkoani Singida

DSC05358

Mkuu wa wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Gishuli Charles (kulia) akitoa maelekezo juu ya mikakati ya kuboresha kilimo cha pamba mbele ya wajumbe wa kikao cha kazi cha kutathimini zao la pamba msimu huu kilichohudhuriwa na wajumbe kutoka bodi ya pamba na wadau wa zao hilo. Dc Charles alikuwa mwenyekiti wa kikao hicho kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi ya mkuu wa mkoa mjini hapa. Kushoto ni kaimu katibu tawala mkoa wa Singida,Mumba.

DSC05355

Baadhi ya wajumbe wa kikao cha kazi cha...

 

10 years ago

Mwananchi

Nyangokolwa waachana na kilimo cha pamba

Wakulima wa zao la vitunguu katika Kijiji cha Nyangokolwa wilayani Bariadi, Mkoa wa Simiyu, wamenufaika na kilimo cha zao hilo baada ya kuachana na kilimo cha pamba kwa madai kuwa kina changamoto nyingi, zikiwamo kushuka kwa bei kila wakati.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali isikilize kilio cha wakulima wa pamba

Juni 18 mwaka huu, Bodi ya Pamba (TCB) ilitangaza kuanza kwa msimu mpya wa uvunaji wa zao hilo, sambamba na kutangaza bei mpya kwa msimu wa mwaka 2014/15 kwa wakulima kutoka Kanda ya Ziwa.

 

11 years ago

Habarileo

Ashauri kuanzishwa mfuko wa kilimo cha pamba

SERIKALI imeshauriwa kuweka mfuko maalumu kwa ajili ya kuendeleza Kilimo cha Pamba hapa nchini badala ya kupoteza fedha zake nyingi katika kuendesha vikao vinavyohusu zao hilo. Ombi hilo lilitolewa juzi na Meneja wa Kiwanda cha Kahama oil Mill, William Matonange wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya Kilimo cha mkataba ambacho wao kama wanunuzi wa zao hilo hawakubaliani nacho.

 

10 years ago

Mwananchi

Madiwani wapinga kilimo cha pamba mkataba

>Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe, mkoani hapa wamepinga kitendo cha Serikali kuhamasisha kilimo cha mkataba wa pamba, huku wakitaka elimu itolewe kwa wananchi kulima alizeti ili kuondokana na maisha duni

 

10 years ago

Mwananchi

Tatizo la kudorora kilimo cha pamba ni soko au tija?

Kati ya yai na kuku kipi kilianza? Hili ni swali ambalo hutumiwa kila panapokuwa na jambo tata.

 

9 years ago

StarTV

Wakulima Nzega walalamikia pembejeo za kilimo cha pamba

Baadhi ya wakulima wa Pamba wilayani Nzega mkoani Tabora wameingiwa hofu ya kukiuka kalenda ya uzalishaji wa zao hilo kutokana na kucheleweshewa pembejeo za kilimo hicho zikiwemo mbegu.

Kwa mujibu wa kalenda ya Pamba kanda ya magharibi, ifikapo Novemba 15 hadi Desemba 15, zao hilo linapaswa kuwa limepandwa ili kuepuka mazalia ya wadudu waharibifu pamoja na kuimarisha ustawi wa zao hilo.

Mvua  za masika zimekwisha  anza kunyesha, wakulima  wengine wanaendelea  na shuguli za kilimo, hofu  ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani