Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda ataka ufumbuzi uhaba wa madawati

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameutaka uongozi wa Mkoa wa Rukwa uhakikishe unamaliza tatizo la upungufu wa madawati ili watoto wa shule za msingi wasiendelee kukaa chini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Pinda akiri kuwapo uhaba wa hoteli

Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema pamoja na Tanzania kuwa na uhaba wa hoteli za kisasa kwa ajili ya watalii, Serikali haitaacha kunadi utalii na vivutio vyake vya ndani.

 

11 years ago

Habarileo

Pinda ahoji dhamira kumaliza tatizo la madawati

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameeleza kushangazwa na hatua ya wakurugenzi, mameya na wenyeviti wa halmashauri nchini kushindwa kutengeneza madawati ili kuwaokoa watoto kutokaa sakafuni, huku vijana wanaoshiriki shindano la Maisha Plus wameweza kutengeneza madawati 30 kwa muda mfupi waliokaa katika kijiji walichopo wilayani Bagamoyo.

 

11 years ago

Michuzi

WEKENI MPANGO MAALUM KUMALIZA TATIZO LA MADAWATI RUKWA - MH. PINDA

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ameutaka uongozi wa mkoa wa Rukwa uhakikishe unamaliza tatizo la upungufu wa madawati ili watoto wa shule za msingi wasiendelee kukaa chini.
Ametoa agizo hilo jana usiku (Jumamosi, Mei 24, 2014) wakati akizungumza na viongozi na watendaji wa mkoa wa Rukwa mara baada ya kupokea taarifa ya Mkoa huo, Ikulu ndogo, mjini Sumbawanga.
Waziri Mkuu amewasili mkoani Rukwa jana jioni akitokea Dodoma ambapo atamwakilisha Rais Jakaya Kikwete kwenye ibada ya kumuweka wakfu...

 

10 years ago

Michuzi

mhe mizengo pinda akabidhi madawati skuli ya kiembesamaki, zanzibar

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa ameketi  katika moja ya madawati  yakisasa aliyo  yapokea kutoka kiwanda cha Jambo Plastics Ltd ya Jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuisaidia Skuli ya Kiembe samaki Zanzibar anaye shuhudia katikati waziri wa Fedha wa Zanzibar Mhe. Omari Yusufu Mzee. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Jambo Plastics Limited Rupa Suchak katika sherehe hizo za kukabidhi zimefanyika katika Skuli ya Kiembesamaki Zanzibar ambako Waziri Mkuu alikuwa Zanzibar kikazi  Waziri Mkuu...

 

10 years ago

Habarileo

Pinda ataka subira

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema suala la kumtaka ajiuzulu wadhifa wake si jipya, lakini akasema ni vyema kusubiri mjadala wa Bunge wa sakata la Tegeta Escrow ufike mwisho, ndipo hatua stahiki zitajulikana.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Pinda ataka urais

WAKATI makada watano wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakitumikia adhabu ya mwaka mmoja kwa kosa la kuanza kampeni za urais wa 2015 kabla ya muda, Waziri Mkuu Mizengo Pinda naye...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Pinda ataka ufugaji wa kibiashara

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amewataka wafugaji nchini kufuga kibiashara ili kujikwamua na umaskini. Hayo aliyasema jijini hapa jana wakati akifungua mkutano wa siku tatu wa wadau wa mifugo, uliyoandaliwa na...

 

11 years ago

Habarileo

Pinda ataka majibu ndani ya saa 30

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ametoa saa 30 na kutaka kupatiwa majibu, ni kwa nini maelekezo aliyotoa kuhusu kiwanda cha kusindika nyama cha Mbeya, hayajafanyiwa kazi.

 

10 years ago

StarTV

Pinda ataka Tanzania isitegemee wafadhili.

Suala la baadhi ya wafadhili wa Tanzania kubana au kuchelewesha fedha walizoahidi kusaidi bajeti ya nchi linaendelea kuiumiza serikali.

 
Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Mizengo Pinda, amesema umefika wakati sasa kwa Tanzania kujitegemea kwa mapato ya ndani kwa asilimia 100 badala ya kuegemea kwa wahisani ambao amedai wanakuwa na maslahi yao katika kusaidia.

 
Hivi karibuni wahisani wamesitisha kutoa fedha hizo kuishinikiza Tanzania kuchukua hatua dhidi ya upotevu wa mabilioni ya fedha kutoka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani