Pinda ahoji dhamira kumaliza tatizo la madawati
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameeleza kushangazwa na hatua ya wakurugenzi, mameya na wenyeviti wa halmashauri nchini kushindwa kutengeneza madawati ili kuwaokoa watoto kutokaa sakafuni, huku vijana wanaoshiriki shindano la Maisha Plus wameweza kutengeneza madawati 30 kwa muda mfupi waliokaa katika kijiji walichopo wilayani Bagamoyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWEKENI MPANGO MAALUM KUMALIZA TATIZO LA MADAWATI RUKWA - MH. PINDA
Ametoa agizo hilo jana usiku (Jumamosi, Mei 24, 2014) wakati akizungumza na viongozi na watendaji wa mkoa wa Rukwa mara baada ya kupokea taarifa ya Mkoa huo, Ikulu ndogo, mjini Sumbawanga.
Waziri Mkuu amewasili mkoani Rukwa jana jioni akitokea Dodoma ambapo atamwakilisha Rais Jakaya Kikwete kwenye ibada ya kumuweka wakfu...
10 years ago
Uhuru Newspaper09 Sep
Rungwe yapania kumaliza tatizo la mabara, madawati
NA MWANDISHI WETU, TUKUYU
HALMASHAURI ya Wilaya Rungwe, imetenga sh. milioni 150 kwenye bajeti yake ya mwaka 2014/2015, kununua vifaa vya maabara na kufunga mifumo imara ya gesi, katika shule zake 28 za sekondari zilizoko wilayani humo.
Kiasi hicho cha fedha kitatengwa kupitia ruzuku ya kukuza mtaji katika Serikali za Mitaa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Veronica Kessy, alisema hayo alipokuwa akielezea mkakati wa kujenga na kutumia maabara kwa wanafunzi wa shule za...
11 years ago
Mwananchi11 Mar
Serikali ina dhamira ya kumaliza foleni Dar?
11 years ago
Habarileo23 Feb
Pinda ahoji Tanganyika inayotakiwa
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amekiri kuwa Bunge Maalumu la Katiba, limeanza na changamoto, huku akihoji wanaotaka Serikali ya Tanganyika, wanakusudia ipi ya mkoloni au ya baada ya uhuru ya miaka mitatu.
11 years ago
Mwananchi08 Jan
Kafulila ahoji ukimya wa Waziri Mkuu Pinda
10 years ago
Vijimambo14 Nov
BENKI YA NMB MBEYA YASAIDIA KUPUNGUZA TATIZO LA MADAWATI MASHULENI.
10 years ago
GPLTATIZO LA KUWAHI KUMALIZA TENDO LA NDOA
11 years ago
Habarileo10 Jul
Bil 21/- zatengwa kumaliza tatizo la vitabu sekondari
RAIS Jakaya Kikwete amesema serikali imetenga Sh bilioni 21 katika bajeti ya mwaka wa fedha wa 2014/2015 kwa ajili ya kumaliza tatizo la upungufu wa vitabu kwenye shule za sekondari.
11 years ago
Mwananchi09 Jun
Lowassa amsifu JK kumaliza tatizo la maji Monduli