Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali ina dhamira ya kumaliza foleni Dar?

Kwa siku mbili mfululizo gazeti hili limechapisha habari maalumu jinsi foleni za magari jijini Dar es Salaam zilivyofikia kiwango cha kutisha na kusababisha madhara makubwa kiuchumi, kijamii na kiafya, ikiwamo magonjwa ya akili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SERIKALI INA DHAMIRA YA DHATI KUONDOA UZEMBE NA UBADHILIFU MIONGONI MWA WATUMISHI-MHE HASUNGA

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Kilimo katika ukumbi wa TPRI Jijini Arusha, leo tarehe 16 Machi 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)


Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Kusaya akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kwa ajili ya ufunguzi wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Kilimo katika ukumbi wa TPRI Jijini Arusha, leo tarehe 16 Machi 2020.

Waziri wa Kilimo...

 

11 years ago

Habarileo

Pinda ahoji dhamira kumaliza tatizo la madawati

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameeleza kushangazwa na hatua ya wakurugenzi, mameya na wenyeviti wa halmashauri nchini kushindwa kutengeneza madawati ili kuwaokoa watoto kutokaa sakafuni, huku vijana wanaoshiriki shindano la Maisha Plus wameweza kutengeneza madawati 30 kwa muda mfupi waliokaa katika kijiji walichopo wilayani Bagamoyo.

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali yatakiwa na mpango kupunguza foleni Dar

jamm1Na Mwandishi Wetu, Dodoma
SERIKALI imeshauriwa kuwa na mpango wa miaka 50 hadi 100 utakaosaidia kutatua msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam.
Ushauri huo, umetolewa bungeni jana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa katika taarifa yake ya utekelezaji wa shughuli za kamati hiyo katika kipindi cha kuanzia Januari 2014 hadi Januari 2015.
Akisoma taarifa hiyo, mjumbe wa kamati hiyo, Athuman Mfutakamba, alisema usanifu huo unatakiwa kuangalia ongezeko...

 

11 years ago

Mwananchi

Kundecha: Muungano ni dhamira, hauwezi kuvunjwa na serikali tatu

Bunge Maalumu la Katiba linaendelea kujadili Sura ya kwanza na sita za Rasimu, huku likiwa limemeguka, kufuatia baadhi ya wajumbe wake kulisusa.

 

11 years ago

Mwananchi

Sakata la foleni, Serikali sasa yanyoosha mikono

Serikali imenyoosha mikono ikisema ni shughuli ngumu kumaliza kabisa tatizo la foleni za magari nchini na hasa Dar es Salaam, bali kinachowezekana ni kuzipunguza tu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Serikali ina kidonda ndugu’

MBUNGE wa Viti Maalumu, Conchester Rwamlaza (CHADEMA), amesema serikali ina kidonda ndugu ambacho hakiponi kutokana na kuruhusu mianya ya rushwa. Conchesta alitoa kauli hiyo bungeni jana alipokuwa akichangia hotuba ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali kumaliza matatizo ya watumishi

SERIKALI imesema inayo dhamira ya dhati ya kumaliza kero ya madai na malimbikizo kwa watumishi wa umma. Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Mejimenti ya Utumishi wa Umma Celina Kombani, amesema mpaka...

 

11 years ago

BBCSwahili

Serikali na waasi kumaliza mazungumzo

Ethiopia inasema serikali na waasi wa Sudan kusini wamekubali kusitisha mapigano na kuunda serikali ya mpito katika siku 60 zijazo

 

11 years ago

Mwananchi

‘CCM ina masilahi na Serikali mbili’

>Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesisitiza msimamo wake wa kutaka kuendelea na muundo wa Serikali mbili huku kikiweka wazi kuwa kina masilahi makubwa na mfumo huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani