Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yatakiwa na mpango kupunguza foleni Dar

jamm1Na Mwandishi Wetu, Dodoma
SERIKALI imeshauriwa kuwa na mpango wa miaka 50 hadi 100 utakaosaidia kutatua msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam.
Ushauri huo, umetolewa bungeni jana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa katika taarifa yake ya utekelezaji wa shughuli za kamati hiyo katika kipindi cha kuanzia Januari 2014 hadi Januari 2015.
Akisoma taarifa hiyo, mjumbe wa kamati hiyo, Athuman Mfutakamba, alisema usanifu huo unatakiwa kuangalia ongezeko...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Bandari ya Tanga sasa kupunguza foleni Dar

>Msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam, unatarajiwa kupungua kwa asilimia nne baada ya Serikali kufanya uamuzi wa kuruhusu uingizaji wa shehena ya mafuta nchini kupitia Bandari ya Tanga.

 

10 years ago

Mwananchi

Japan yatoa Sh27 bilioni kusaidia kupunguza foleni Dar

Serikali ya Japan imetoa kiasi cha Sh27 bn kwa Tanzania ili kufanikisha ujenzi wa barabara za juu (Fly-Over) katika eneo la Ubungo, jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Maswi: Serikali haina mpango wa kupunguza wafanyakazi Tanesco

Serikali imesema haina mpango wa kupunguza wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) chini ya mkakati wa kuboresha sekta ndogo ya umeme nchini na badala yake, imewataka waendelee kushirikiana kikamilifu kulitumikia shirika na wateja.

 

10 years ago

GPL

SEMINA YA MPANGO WA KUPUNGUZA VIFO VYA AJALI YAFANYIKA JIJINI DAR

 Ofisa Mradi wa mpango wa kutekeleza  mkakati wa kupunguza  vifo vinavyotokana na ajali za barabarani kwa kusisitiza usalama  Barabarani unaosimamiwa kwa kushirikiana na  Bloomberg (BIGRS), Shirika la afya Duniani (WHO)  na Serikali ya Tanzania, Mary Kessi (katikati), akitoa mada kwenye semina hiyo iliyowajumuisha wanahabari na wadau wa sekta ya usafiri inayohusu  mpango huo wa utekelezaji wa mkakati huo. ...

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI KUANDAA MPANGO KAZI WA KITAIFA WA KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA ZEBAKI KWA WACHIMBAJI WADOGO WA DHAHABU (2020-205)

Na.Faustine Gimu,Dodoma.Serikali kwa kushirikiana na wadau imeandaa na kuanza kutekeleza Mpango-Kazi wa Kitaifa wa Kupunguza Matumizi ya Zebaki kwa Wachimbaji Wadogo wa Dhahabu  (2020 – 2025).
Hayo yamesemwa  jana April 16 Bungeni jijini Dodoma  na Waziri Wa Nchi Ofisi Ya Makamu Wa Rais Muungano na Mazingira  Mhe. Mussa Azzan Zungu  wakati akiwasilisha hotuba Kuhusu Makadirio Ya Mapato Na Matumizi Kwa Mwaka 2020/21 . Waziri Zungu amebainisha kuwa Mpango-Kazi  huo unalenga kupunguza matumizi...

 

10 years ago

Vijimambo

SEMINA YA MPANGO WA KUPUNGUZA VIFO VYA AJALI YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

 Ofisa Mradi wa mpango wa kutekeleza  mkakati wa kupunguza  vifo vinavyotokana na ajali za barabarani kwa kusisitiza usalama  Barabarani unaosimamiwa kwa kushirikiana na  Bloomberg (BIGRS), Shirika la afya Duniani (WHO)  na Serikali ya Tanzania, Mary Kessi (katikati), akitoa mada kwenye semina hiyo iliyowajumuisha wanahabari na wadau wa sekta ya usafiri inayohusu  mpango huo wa utekelezaji wa mkakati huo. Mtaalamu Mwelekezi, Callie Long kutoka Canada akitoa mada kwenye semina hiyo. 

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali ina dhamira ya kumaliza foleni Dar?

Kwa siku mbili mfululizo gazeti hili limechapisha habari maalumu jinsi foleni za magari jijini Dar es Salaam zilivyofikia kiwango cha kutisha na kusababisha madhara makubwa kiuchumi, kijamii na kiafya, ikiwamo magonjwa ya akili.

 

11 years ago

Mwananchi

Roboti kupunguza foleni D’ Salaam

Matumizi ya roboti katika kuongoza magari imeelezwa kwamba inaweza kusaidia kukabiliana na tatizo la foleni za magari Jijini Dar es Salaam.

 

5 years ago

Michuzi

BARABARA YA MCHEPUO KUPUNGUZA KERO YA FOLENI – KIYEGEYA




Kazi za ujenzi wa barabara ya mchepuo katika eneo la Kiyegeya, Wilaya ya kilosa, mkoani Morogoro zikiendelea. Ujenzi wa barabara hiyo upo katika hatua za mwisho na tayari magari makubwa na madogo yameshaanzakuruhusiwa kupita.Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulikia Sekta ya Ujenzi, Arch. Elius Mwakalinga, akisimamia zoezi la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani