Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Japan yatoa Sh27 bilioni kusaidia kupunguza foleni Dar

Serikali ya Japan imetoa kiasi cha Sh27 bn kwa Tanzania ili kufanikisha ujenzi wa barabara za juu (Fly-Over) katika eneo la Ubungo, jijini Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TANZANIA YAPATA BILIONI 24.1 TOKA JAPAN KUSAIDIA BAJETI YA SERIKALI

Wakati wizara ya fedha ikiendelea na majadiliano ya Bajeti ya Serikali mjini Dodoma, Serikali ya Japan imetoa kiasi cha Yen za Kijapani bilioni 1.5 ambazo ni sawa na shilingi bilioni 24.1 za kitanzania kutoka Serikali ya Japani kwa ajili ya shughuli za maendeleo hapa nchini.   Akizungumza katika hafla hiyo ya kutiliana saini, Waziri Mkuya aliishukuru Serikali ya Japani kwa kuwa na ushirikiano mzuri na Tanzania.  “Mkopo huu utachangia bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha wa 2014/2015, na...

 

10 years ago

Mwananchi

Bandari ya Tanga sasa kupunguza foleni Dar

>Msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam, unatarajiwa kupungua kwa asilimia nne baada ya Serikali kufanya uamuzi wa kuruhusu uingizaji wa shehena ya mafuta nchini kupitia Bandari ya Tanga.

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali yatakiwa na mpango kupunguza foleni Dar

jamm1Na Mwandishi Wetu, Dodoma
SERIKALI imeshauriwa kuwa na mpango wa miaka 50 hadi 100 utakaosaidia kutatua msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam.
Ushauri huo, umetolewa bungeni jana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa katika taarifa yake ya utekelezaji wa shughuli za kamati hiyo katika kipindi cha kuanzia Januari 2014 hadi Januari 2015.
Akisoma taarifa hiyo, mjumbe wa kamati hiyo, Athuman Mfutakamba, alisema usanifu huo unatakiwa kuangalia ongezeko...

 

9 years ago

Dewji Blog

UNCDF yatoa bilioni 2.4/- kusaidia miradi 6 ya miundombinu

Mkurugenzi wa Mfuko wa Mtaji wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa, (UNCDF) nchini Tanzania, Peter Malika akizungumza na wageni waalikwa wakati wa makabidhiano ya misaada kwa miradi ya maendeleo iliyodhaminiwa na UNCDF Tanzania.

Naibu Katibu Mkuu Tamisemi, Kagyabukama E.Kiliba akisoma hotuba yake wakati wa kukabidhi hundi kwa mashirika binafsi na ya umma kwa ajili ya kuendeleza miradi ya maendeleo.

Naibu Katibu Mkuu Tamisemi, Kagyabukama E.Kiliba (katikati) akimkabidhi hundi bilioni moja...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA KIARABU YA MAENDELEO YA UCHUMI YA AFRIKA ( BADEA)YATOA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 12.0 (SHILINGI BILIONI 20.1) KUSAIDIA MAENDELEO KATIKA WILAYA YA SAME NA MWANGA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile, mchana wa leo ametiliana saini makubaliano ya mkataba wa kuanzisha Mradi wa Maji katika Wilaya ya Same na Mwanga mkoani Kilimanjaro..  Dr. Likwelile alisaini Mkataba huo kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya uchumi ya Afrika. Aliye wakilisha Benki hiyo ni Eng. Yousef I. Al-Bassam ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti na Mkurugenzi Msimamizi wa mfuko wa...

 

10 years ago

Vijimambo

BENKI YA KIARABU YA MAENDELEO YA UCHUMI YA AFRIKA ( BADEA)YATOA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 12.0 SAWA NA FEDHA ZA KITANZANIA SHILINGI BILIONI 20.1 KUSAIDIA MAENDELEO KATIKA WILAYA YA SAME NA MWANGA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile akiwa na ujumbe kutoka Tanzania wakiwa tayari kutiliana saini mkataba wa makubaliano ya mradi wa maji katika Wilaya ya Same na Mwanga. Aliye kushoto kwake ni Eng. Yousef I. Al-Bassam ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti na Mkurugenzi Msimamizi wa mfuko wa maendeleo wa Saudia.Fedha hizo zimetoka BADEA.Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile akitia saini makubaliano ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Roboti kupunguza foleni D’ Salaam

Matumizi ya roboti katika kuongoza magari imeelezwa kwamba inaweza kusaidia kukabiliana na tatizo la foleni za magari Jijini Dar es Salaam.

 

5 years ago

Michuzi

BARABARA YA MCHEPUO KUPUNGUZA KERO YA FOLENI – KIYEGEYA




Kazi za ujenzi wa barabara ya mchepuo katika eneo la Kiyegeya, Wilaya ya kilosa, mkoani Morogoro zikiendelea. Ujenzi wa barabara hiyo upo katika hatua za mwisho na tayari magari makubwa na madogo yameshaanzakuruhusiwa kupita.Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulikia Sekta ya Ujenzi, Arch. Elius Mwakalinga, akisimamia zoezi la...

 

5 years ago

Michuzi

BARABARA YA MCHEPUO KUPUNGUZA KERO YA FOLENI - KIYEGEYA

Serikali imeanza kuyaruhusu magari yaliyokwama katika Barabara Kuu ya Dodoma - Morogoro katika eneo la Kiyegeya, wilaya ya Kilosa kupita katika njia ya mchepuo ambayo imejengwa ili kupunguza msongamano mkubwa wa magari uliopo katika barabara hiyo.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, wakati akisimamia hatua za ujenzi wa barabara hiyo ya mchepuo ambapo pamoja na mambo mengine amesema hadi sasa zaidi ya malori 60 yameshavuka katika barabara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani