BARABARA YA MCHEPUO KUPUNGUZA KERO YA FOLENI – KIYEGEYA
Kazi za ujenzi wa barabara ya mchepuo katika eneo la Kiyegeya, Wilaya ya kilosa, mkoani Morogoro zikiendelea. Ujenzi wa barabara hiyo upo katika hatua za mwisho na tayari magari makubwa na madogo yameshaanzakuruhusiwa kupita.Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulikia Sekta ya Ujenzi, Arch. Elius Mwakalinga, akisimamia zoezi la...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziBARABARA YA MCHEPUO KUPUNGUZA KERO YA FOLENI - KIYEGEYA
Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, wakati akisimamia hatua za ujenzi wa barabara hiyo ya mchepuo ambapo pamoja na mambo mengine amesema hadi sasa zaidi ya malori 60 yameshavuka katika barabara...
11 years ago
GPLKERO ZA FOLENI BARABARA YA MOROGORO JIJINI DAR ZAENDELEA KUTESA
5 years ago
MichuziMAJALIWA AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA MUDA KATIKA ENEO LA KIYEGEYA WILAYANI KILOSA
Kazi ya ujenzi wa barabara ya muda katika eneo la Kiyegeya wilayani Kilosa Machi 10, 2020. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekagua ujenzi huo leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mtendaji Mkuu wa TANROADS, Mhandisi Patric Mfugale (mwenye kofia) wakati alipokagua ujenzi wa barabara ya muda katika eneo la Kiyegeya wilayani Kilosa Machi 10, 2020. Kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Mhandisi Emmanuel Kalobelo. (Picha na Ofisi ya Waziri...
11 years ago
Mwananchi14 Mar
Roboti kupunguza foleni D’ Salaam
11 years ago
Habarileo18 Feb
Foleni yazidi kuwa kero Dar
TATIZO la foleni katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, limezidi kuwa kero kwa wananchi huku Serikali ikikiri kuumizwa kichwa na hali hiyo na hivyo kuitisha vikao vya mara kwa mara vya wadau wa usafiri kwa lengo la kujadili suala hilo.
5 years ago
CCM Blog10 years ago
Mtanzania04 Feb
Serikali yatakiwa na mpango kupunguza foleni Dar
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
SERIKALI imeshauriwa kuwa na mpango wa miaka 50 hadi 100 utakaosaidia kutatua msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam.
Ushauri huo, umetolewa bungeni jana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa katika taarifa yake ya utekelezaji wa shughuli za kamati hiyo katika kipindi cha kuanzia Januari 2014 hadi Januari 2015.
Akisoma taarifa hiyo, mjumbe wa kamati hiyo, Athuman Mfutakamba, alisema usanifu huo unatakiwa kuangalia ongezeko...
10 years ago
Mwananchi10 Jul
Bandari ya Tanga sasa kupunguza foleni Dar
10 years ago
Mwananchi18 Mar
Japan yatoa Sh27 bilioni kusaidia kupunguza foleni Dar