Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bandari ya Tanga sasa kupunguza foleni Dar

>Msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam, unatarajiwa kupungua kwa asilimia nne baada ya Serikali kufanya uamuzi wa kuruhusu uingizaji wa shehena ya mafuta nchini kupitia Bandari ya Tanga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Serikali yatakiwa na mpango kupunguza foleni Dar

jamm1Na Mwandishi Wetu, Dodoma
SERIKALI imeshauriwa kuwa na mpango wa miaka 50 hadi 100 utakaosaidia kutatua msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam.
Ushauri huo, umetolewa bungeni jana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa katika taarifa yake ya utekelezaji wa shughuli za kamati hiyo katika kipindi cha kuanzia Januari 2014 hadi Januari 2015.
Akisoma taarifa hiyo, mjumbe wa kamati hiyo, Athuman Mfutakamba, alisema usanifu huo unatakiwa kuangalia ongezeko...

 

10 years ago

Mwananchi

Japan yatoa Sh27 bilioni kusaidia kupunguza foleni Dar

Serikali ya Japan imetoa kiasi cha Sh27 bn kwa Tanzania ili kufanikisha ujenzi wa barabara za juu (Fly-Over) katika eneo la Ubungo, jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Roboti kupunguza foleni D’ Salaam

Matumizi ya roboti katika kuongoza magari imeelezwa kwamba inaweza kusaidia kukabiliana na tatizo la foleni za magari Jijini Dar es Salaam.

 

5 years ago

Michuzi

BARABARA YA MCHEPUO KUPUNGUZA KERO YA FOLENI – KIYEGEYA




Kazi za ujenzi wa barabara ya mchepuo katika eneo la Kiyegeya, Wilaya ya kilosa, mkoani Morogoro zikiendelea. Ujenzi wa barabara hiyo upo katika hatua za mwisho na tayari magari makubwa na madogo yameshaanzakuruhusiwa kupita.Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulikia Sekta ya Ujenzi, Arch. Elius Mwakalinga, akisimamia zoezi la...

 

5 years ago

Michuzi

BARABARA YA MCHEPUO KUPUNGUZA KERO YA FOLENI - KIYEGEYA

Serikali imeanza kuyaruhusu magari yaliyokwama katika Barabara Kuu ya Dodoma - Morogoro katika eneo la Kiyegeya, wilaya ya Kilosa kupita katika njia ya mchepuo ambayo imejengwa ili kupunguza msongamano mkubwa wa magari uliopo katika barabara hiyo.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, wakati akisimamia hatua za ujenzi wa barabara hiyo ya mchepuo ambapo pamoja na mambo mengine amesema hadi sasa zaidi ya malori 60 yameshavuka katika barabara...

 

9 years ago

Mwananchi

Hujuma Bandari ya Tanga

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Magalula Said Magalula amedai kuwa kuna wafanyabiashara ambao wameanza tena kuhujumu mpango wa Serikali wa kutumia Bandari ya Tanga kupitishia mafuta.

 

11 years ago

Mwananchi

Sakata la foleni, Serikali sasa yanyoosha mikono

Serikali imenyoosha mikono ikisema ni shughuli ngumu kumaliza kabisa tatizo la foleni za magari nchini na hasa Dar es Salaam, bali kinachowezekana ni kuzipunguza tu.

 

11 years ago

Mwananchi

Hali ni ngumu Bandari Tanga

Bandari ya Tanga imepoteza kiasi kikubwa cha mapato kutokana na hatua ya Serikali kusitisha shughuli za uagizaji na upakuaji mafuta kupitia bandari hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

Mafuta kupita bandari Tanga

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati (EWURA), Felix NgamlagosiSERIKALI imesema inatarajia kuanza kutumia bandari ya Tanga katika kuingiza mafuta ili kupunguza msongamano na ucheleweshwaji wa upakuaji katika bandari ya Dar es Salaam pamoja na kuongeza ufanisi wa usafirishaji wa nishati hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani