Mafuta kupita bandari Tanga
SERIKALI imesema inatarajia kuanza kutumia bandari ya Tanga katika kuingiza mafuta ili kupunguza msongamano na ucheleweshwaji wa upakuaji katika bandari ya Dar es Salaam pamoja na kuongeza ufanisi wa usafirishaji wa nishati hiyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania03 Jun
Upotevu wa mafuta bandari washitua
Na Adam Mkwepu, Dar es Salaam
TANZANIA imeendelea kupata hasara kutokana na upotevu wa mafuta kwenye mabomba ya kupakulia yaliyopo bandari hali iliyosababisha mamlaka husika kuingia kati.
Hatua hiyo imechukuliwa siku chache baada ya kutolewa ripoti maalumu ambayo inaonyesha upotevu wa mafuta takribani lita milioni mbili, ambazo zilipotea hivi karibuni wakati wa upakuaji wa mafuta katika meli mbili kwenye boya la Single Point Mooring (SPM).
Barua iliyoandikwa na Meneja Mkuu wa Kampuni ya...
11 years ago
BBCSwahili08 Mar
Walioteka bandari Libya wauza mafuta nje
9 years ago
Mwananchi22 Sep
Hujuma Bandari ya Tanga
11 years ago
Mwananchi07 Feb
Hali ni ngumu Bandari Tanga
9 years ago
Mwananchi23 Sep
Bandari ya Tanga ilindwe dhidi ya hujuma
10 years ago
Mwananchi17 Mar
Bandari ya Tanga yalalamikia vitendea kazi
10 years ago
Mwananchi10 Jul
Bandari ya Tanga sasa kupunguza foleni Dar
5 years ago
MichuziNDITIYE ARIDHISHWA NA KASI YA UPANUZI WA BANDARI YA TANGA
Serikali Kutumia Shilingi Bilioni 172 Kuboresha Bandari Hiyo
Itakuwa na Uwezo wa Kuhudumia Meli Yenye Uzito wa Tani 35,000
Na Prisca Ulomi, WUUM, Tanga
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye ameridhishwa na kasi ya upanuzi wa Bandari ya Tanga baada ya kushuhudia kazi inayoendelea kufanyika kwenye bandari hiyo wakati wa ziara yake mkoani humo
Nditiye amesema kuwa tayari Serikali imepanga kutumia shilingi bilioni 172 kwa ajili ya kupanua bandari hiyo kwa kuongeza...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-2UOk2V9gJZY/VW4NRg3ADHI/AAAAAAAHbgc/aUA3U8Wbxvg/s72-c/20150602125744.jpg)
MH.SITTA AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA BANDARI YA TANGA,WAELEZA CHANGAMOTO ZAO.
![](http://1.bp.blogspot.com/-2UOk2V9gJZY/VW4NRg3ADHI/AAAAAAAHbgc/aUA3U8Wbxvg/s640/20150602125744.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-TASYiCtvGys/VW4NSm8fogI/AAAAAAAHbgo/CuNbmiwB0qc/s640/20150602125748.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-X6XhSpjlxRk/VW4NSAned8I/AAAAAAAHbgg/rxowOLTEBmg/s640/20150602125746BN.jpg)