Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walioteka bandari Libya wauza mafuta nje

Wanamgambo walioteka bandari nchini Libya wameiambia BBC kuwa wameanza kusafirisha mafuta kwenda nchi za nje.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wauza mafuta kubalianeni-Rai

Wafanyabiashara wa mafuta wa rejareja wanaokodi vituo vya mafuta kutoka kwa wauzaji wa jumla, wameshauriwa kufanya maridhiano na wakodishaji wao katika mchakato wa kugawana gawio la faida ili kuepuka mgogoro.

 

9 years ago

Habarileo

Ewura yawaonya wauza mafuta

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa onyo kwa mfanyabiashara yeyote wa mafuta atakayetengeneza uwepo wa upungufu wa mafuta katika kipindi hiki cha kuelekela uchaguzi mkuu.

 

10 years ago

Habarileo

Wauza mafuta wapewa onyo

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage SERIKALI imesema itawachukulia hatua kali wafanyabiashara wa mafuta, ikiwamo kuwafungia vituo vyao na pia kufuta leseni zao watakaobainika kugoma kuuza nishati hiyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Wauza unga TZ? majibu ya DNA baba na mtoto? Maalim Seif Ikulu? Kagame na bandari TZ? Stori +Audio

Najua kuna watu wangu wanakosa time ya kusikiliza uchambuzi wa MAGAZETI redioni kila siku, uchambuzi huwa unagusa headlines kubwa kubwa zote kurasa za nje na ndani… leo December 22 2015 kuna hizi nilizozinasa. Rais Magufuli aungana na Marais wastaafu kwenye mazishi ya dada yake JK, Tausi Khalfan Kikwete kijijini Msoga, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema […]

The post Wauza unga TZ? majibu ya DNA baba na mtoto? Maalim Seif Ikulu? Kagame na bandari TZ? Stori +Audio appeared first on...

 

10 years ago

Mtanzania

Upotevu wa mafuta bandari washitua

Na Adam Mkwepu, Dar es Salaam
TANZANIA imeendelea kupata hasara kutokana na upotevu wa mafuta kwenye mabomba ya kupakulia yaliyopo bandari hali iliyosababisha mamlaka husika kuingia kati.
Hatua hiyo imechukuliwa siku chache baada ya kutolewa ripoti maalumu ambayo inaonyesha upotevu wa mafuta takribani lita milioni mbili, ambazo zilipotea hivi karibuni wakati wa upakuaji wa mafuta katika meli mbili kwenye boya la Single Point Mooring (SPM).
Barua iliyoandikwa na Meneja Mkuu wa Kampuni ya...

 

10 years ago

Habarileo

Mafuta kupita bandari Tanga

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati (EWURA), Felix NgamlagosiSERIKALI imesema inatarajia kuanza kutumia bandari ya Tanga katika kuingiza mafuta ili kupunguza msongamano na ucheleweshwaji wa upakuaji katika bandari ya Dar es Salaam pamoja na kuongeza ufanisi wa usafirishaji wa nishati hiyo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanamgambo wa Libya wasafirisha mafuta

Wanamgambo wa Libya wasafirisha wenyewe mafuta ya nchi na wayapeleka Korea Kaskazini

 

11 years ago

BBCSwahili

Waasi Libya waridhia mafuta yauzwe

Makubaliano yameafikiwa kati ya Serikali na waasi kuondoa kizuizi cha kusafirisha mafuta mashariki mwa Libya kuyauza ng'ambo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kombora lalipua matenk ya mafuta,Libya

Vikosi vya zima moto vya Libya vinapambana kujaribu kuuzima moto baada ya kombora la roketi kulipua tanki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani