Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wauza mafuta kubalianeni-Rai

Wafanyabiashara wa mafuta wa rejareja wanaokodi vituo vya mafuta kutoka kwa wauzaji wa jumla, wameshauriwa kufanya maridhiano na wakodishaji wao katika mchakato wa kugawana gawio la faida ili kuepuka mgogoro.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wauza mafuta wapewa onyo

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage SERIKALI imesema itawachukulia hatua kali wafanyabiashara wa mafuta, ikiwamo kuwafungia vituo vyao na pia kufuta leseni zao watakaobainika kugoma kuuza nishati hiyo.

 

9 years ago

Habarileo

Ewura yawaonya wauza mafuta

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa onyo kwa mfanyabiashara yeyote wa mafuta atakayetengeneza uwepo wa upungufu wa mafuta katika kipindi hiki cha kuelekela uchaguzi mkuu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Walioteka bandari Libya wauza mafuta nje

Wanamgambo walioteka bandari nchini Libya wameiambia BBC kuwa wameanza kusafirisha mafuta kwenda nchi za nje.

 

5 years ago

Michuzi

EWURA yapewa siku 10 kupitia bei za mafuta katika maghala ya kuhifadhi na kupokea mafuta.



Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani (wa pili kulia)akipita kukagua mazingira ya ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP, alipofanya ziara katika eneo hilo mkoani Tanga, Mei 10, 2020.

Shehena ya Mafuta ikiwa imepakiwa katika matangi tayari kwa kusafirishwa,hapa ni katika ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP mkoani Tanga, Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani, alifanya ziara katika eneo hilo, Mei 10,2020.

Baadhi ya mapipa makubwa ya kuhifadhia mafuta...

 

10 years ago

Vijimambo

Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (Ewura), imepunguza bei za mafuta kote nchini

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (Ewura), Felix Ngamlagosi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo, kuhusu mwenendo wa bei za mafuta nchini na katika soko la Dunia. Kulia ni Mkurugenzi wa Petroli, Godwin Samwel.Mkurugenzi wa Petroli, Godwin Samwel (kulia), akizungumza katika mkutano huo.Ofisa Mawasiliano wa Ewura, Titus Kaguo (kushoto), akizungumza katika mkutano huo.Wanahabari wakiwa kwenye mkutano...

 

9 years ago

Mtanzania

Wanaolichafua gazeti la RAI kukiona

kibandaNA MWANDISHI WETU

KAMPUNI ya New Habari (2006) Ltd inayochapisha magazeti ya MTANZANIA, RAI, Bingwa, Dimba na The African, imelaani vikali, uzushi, uongo na upotoshaji wa hali ya juu unaofanywa na watu wasio na nia njema na kampuni hiyo.

Watu hao juzi walitengeneza mfano wa gazeti la RAI lenye ujumbe hasi na kulisambaza katika mitandao ya kijamii, likiwa na taarifa mbalimbali za uongo na uzushi ambazo haziuhusu uongozi wa kampuni hiyo na magazeti yake kwa ujumla wake.

Akizungumzia hali hiyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Wapeni haki walemavu - Rai

Wenyeviti wa mitaa na vitongoji wametakiwa kufuatilia taarifa za watoto hasa wenye ulemavu katika maeneo yao ili kubaini mapema vitendo vya mateso na ukatili wanavyofanyiwa.

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Mwananchi

Watanzania tumieni fursa za migodini - Rai

Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Udhibiti na Ukaguzi wa Uzalishaji na Biashara ya Madini kutoka Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), Mhandisi Liberatus Chizuzu amewahimiza Watanzania kutumia fursa za kufanya biashara katika kampuni za migodi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani