Wapeni haki walemavu - Rai
Wenyeviti wa mitaa na vitongoji wametakiwa kufuatilia taarifa za watoto hasa wenye ulemavu katika maeneo yao ili kubaini mapema vitendo vya mateso na ukatili wanavyofanyiwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi11 May
Wapeni lishe bora watoto wenu-Rai
10 years ago
Mwananchi02 Nov
Haki za walemavu katika michakato ya demokrasia
11 years ago
BBCSwahili03 Feb
Maelfu ya walemavu wadai haki India
10 years ago
Vijimambo09 Dec
Waziri Kombani aipongeza Seed Trust kuwapigania haki za walemavu
![Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Selina Kombani (wa pili kushoto) akifungua Kongamano la Kujadili namna ya kukabiliana na vitendo vya ukatili kwa wanawake na watuwenye ulemavu.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_01671.jpg)
![Mwenyekiti wa Tasisi ya Seed Trust, Magreth Mkanga (MB), (wa pili kutoka kushoto) akizungumza katika mkutano wa Kongamano la Kujadili namna ya kukabiliana na vitendo vya ukatili kwa wanawake na watuwenye ulemavu.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0062.jpg)
![Baadhi ya washiriki wa kongamano la Kujadili namna ya kukabiliana na vitendo vya ukatili kwa wanawake na watuwenye ulemavu wakiwa katika mkutano huo leo mjini Morogoro.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0130.jpg)
10 years ago
GPLWALEMAVU WATAKA HAKI YA KUSHIRIKI KURA YA MAONI NA UCHAGUZI MKUU
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-8gAV_3giTKg/VARzsekqJOI/AAAAAAAGZ50/t7y5tmJraW8/s72-c/PIX-13.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta awaahidi walemavu kutendewa haki katika Katiba Mpya
![](http://4.bp.blogspot.com/-8gAV_3giTKg/VARzsekqJOI/AAAAAAAGZ50/t7y5tmJraW8/s1600/PIX-13.jpg)
Mhe. Sitta ameyasema hayo leo Septemba Mosi, 2014 katika mkutano wake na baadhi ya viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) ambalo lilikuja katika Bunge Maalum kwa lengo la kuwasilisha hoja zenye msisitizo kuhusu haki za watu wenye ulemavu katika mchakato Katiba Mpya.
Mhe. Sitta amesema kuwa kazi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LRabT8flycGpSjRawy16xZhKQZ4dRHkuPJegC3bfb7VwiZehHprWhkWl5cHHKKUAT1J55yupOgQTZIRarnUSdYMWQgz8YWng/wheelchair2.jpg?width=650)
WATOTO WALEMAVU MAHENGE WANUFAIKA NA MSAADA WA BAISKELI ZA WALEMAVU
10 years ago
MichuziKILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALEMAVU KITAIFA IRINGA , SERIKALI YA TANZANIA YAPIGA MARUFUKU UJENZI WA MAJENGO YASIYO RAFIKI NA WALEMAVU
10 years ago
Habarileo28 Apr
‘Wapeni ushirikiano Wamarekani wanaojitolea’
JAMII imetakiwa kutoa ushirikiano unaotakiwa kwa kundi jipya la raia wa Marekani walioanza kujitolea hapa nchini. Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk Florens Turuka alisema hivi karibuni kuwa wananchi hao wanaojitolea wanahitaji kupewa moyo pamoja na msaada wa kiufundi watakaohitaji.