Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Wapeni ushirikiano Wamarekani wanaojitolea’

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk Florens Turuka JAMII imetakiwa kutoa ushirikiano unaotakiwa kwa kundi jipya la raia wa Marekani walioanza kujitolea hapa nchini. Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk Florens Turuka alisema hivi karibuni kuwa wananchi hao wanaojitolea wanahitaji kupewa moyo pamoja na msaada wa kiufundi watakaohitaji.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Chama cha watu wanaojitolea (Trabajo Voluntario), Marisa Yussuf Himid atembelea vyombo vya habari

JAMII imeaswa kutambua matatizo yanayowakumba watoto mfanano (mtindio wa ubongo) na kushauriwa kutokuwabagua.  Aidha, wametakiwa kuachana na imani za kishirikina, kwamba watoto hao ni laana kutoka kwa Mungu na kuwaua, badala ya kutoa elimu kwa wanaowatenga watoto hao.  Mwenyekiti wa Chama cha watu wanaojitolea (Trabajo Voluntario), Marisa Yussuf Himid aliyasema hayo hivi karibuni jijini Dar es Salaam, alipokuwa kwenye ziara maalum ya kutembelea vyombo vya habari nchini.  Akiwa kwenye ziara...

 

11 years ago

Mwananchi

Wapeni haki walemavu - Rai

Wenyeviti wa mitaa na vitongoji wametakiwa kufuatilia taarifa za watoto hasa wenye ulemavu katika maeneo yao ili kubaini mapema vitendo vya mateso na ukatili wanavyofanyiwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

PSPF: Waajiri wapeni uhuru wafanyakazi

WAAJIRI wa sekta mbalimbali nchini wametakiwa kuheshimu na kuwapa uhuru watumishi wao kuchagua mfuko wowote wa hifadhi ya jamii wanaoupenda. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana,...

 

11 years ago

Mwananchi

Nanai: Wapeni elimu bora watoto

Wazazi na walezi nchini wameshauriwa kuhakikisha wanawapatia elimu bora watoto wao kwa kuwa ni taifa la kesho.

 

10 years ago

Habarileo

‘Wapeni wanahabari taarifa sahihi wasipotoshe’

MAOFISA habari katika halmashauri mbalimbali nchini, wamepewa mwito kuwapa wanahabari taarifa sahihi kuepusha kupotosha jamii.

 

5 years ago

Michuzi

WAPENI DHAMANA MAHABUSU KUEPUSHA CORONA-MASAUNI


Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akikagua orodha ya mahabusu wakati wa ziara ya kutembelea Vituo vya Polisi lengo ikiwa ni kukagua utekelezaji wa maagizo ya serikali katika kupambana na ugonjwa wa Corona ambapo ameagiza Makamanda wa Polisi nchini na Wakuu wa Magereza kuhakikisha watuhumiwa wanaoruhusiwa kupata dhamana kisheria wapewe ili kuepusha misongamano katika vituo mbalimbali vya polisi nchini.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi...

 

11 years ago

Mwananchi

Wapeni lishe bora watoto wenu-Rai

Wazazi wametakiwa kutilia mkazo lishe na afya za watoto wao, kwani kwa kufanya hivyo kutawaongezea uwezo wa kujifunza shuleni.

 

5 years ago

Michuzi

WAPENI ELIMU YA KUJIKINGA NA CORONA WANANCHI-DKT.CHAULA


Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto-Idara kuu afya Dkt. Zainab Chaula akiongea na waganga wakuu wa mikoa(hawapo pichani) wakati wa mkutano wa kujadili utayari wa kukabiliana na tishio la mlipuko wa virus vya corona kwenye ukumbi wa mkutano wa hospitali ya taifa muhimbili-mloganzila
Baadhi wa waganga wakuu wa mikoa na maofisa kutoka wizara ya afya walioshiriki mkutano wa kujadili tishio la ugonjwa wa Corona.
Naibu Mkuu anayeshughulikia afya kutoka Ofisi ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ufaransa yawasifu Wamarekani

Waziri wa masuala ya ndani wa Ufaransa amesifu wamarekani ambao walimshinda mwanamme ambaye alikuwa amejihami nchini humo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani