Ufaransa yawasifu Wamarekani
Waziri wa masuala ya ndani wa Ufaransa amesifu wamarekani ambao walimshinda mwanamme ambaye alikuwa amejihami nchini humo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo28 Apr
‘Wapeni ushirikiano Wamarekani wanaojitolea’
JAMII imetakiwa kutoa ushirikiano unaotakiwa kwa kundi jipya la raia wa Marekani walioanza kujitolea hapa nchini. Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk Florens Turuka alisema hivi karibuni kuwa wananchi hao wanaojitolea wanahitaji kupewa moyo pamoja na msaada wa kiufundi watakaohitaji.
11 years ago
Uhuru Newspaper06 Aug
Kikwete awapa somo Wamarekani
Na mwandishi wetu
RAIS Jakaya Kikwete ameitaka sekta binafsi na wafanyabiashara wa Marekani kujifunza kutoka kwa wenzao wa Bara la Asia, ambao wameongeza uwekezaji barani Afrika.
Amesema hatua hiyo inatokana na kuwa wawekezaji hao wanapata taarifa sahihi na za ukweli kupitia vyombo mbalimbali.
Aidha, Rais Kikwete amesema pingamizi kubwa la kufanya biashara kati ya Marekani na Afrika sio tena Bahari ya Atlantic ama umbali, bali ni maono hasi yanayojengwa na vyombo vya habari vya Marekani kuhusu...
11 years ago
GPL
WAMAREKANI WAFUNGA NDOA KATIKA MLIMA KILIMANJARO
 Kara Lee akimlisha keki mumewe Richard Miller mara baada ya kufunga ndoa katika Mlima Kilimanjaro juzi. RAIA wa Marekani Richard Miller na Kara Lee wamefunga ndoa ya kihistoria katika Mlima Kilimanjaro juzi na kuacha watu midomo wazi. Kara Lee akimvisha pete mumewe Richard Miller. Wanandoa hao waliwasili nchini wiki iliyopita na kuanza safari yao ya siku saba kupanda Mlima Kilimanjaro kupitia njia ya Machame Septemba...
10 years ago
GPL
WAMAREKANI WADAI OBAMA SHUJAA WA KUPAMBANA NA ALIENS
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Wiki iliyopita niliishia pale nilipokuwa nikielezea namna ambavyo viumbe hawa wa ajabu waishio angani, Aliens wanavyohusishwa na Eneo la Area 51 lililopo katika Jimbo la Nevada nchini Marekani na jinsi walivyoweza kutengeneza ndege zenye muonekano wa sahani ambazo kwa sasa zinatengenezwa na Wamarekani. SASA ENDELEA… Kuna andiko la siri linalodai kwamba Rais wa 40 wa Marekani ambaye alikuwa ni...
11 years ago
GPL15 May
MKURUGENZI TANZANIA AWAELEZA WAMAREKANI UKOMBOZI WA WAKULIMA
Mkurungezi wa kampuni ya EA fruits ltd Elia Timothea akitoa presentation yake huko marekani kuhusu mradi wake wa kilimo kwa ajili ya kuwakomboa wakulima wa tanzania na afrika mashariki.
11 years ago
VijimamboWAMAREKANI WAFUNGA NDOA KWENYE MLIMA KILIMANJARO
11 years ago
VijimamboWAWEKEZAJI WAMAREKANI WATUA TANZANIA KUTIZAMA FULSA ZA UWEKEZAJI
11 years ago
GPLWAMAREKANI WAKARIBISHWA KUWEKEZANCHINI KATIKA MAENEO MBALIMBALI
 Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Rajabu Gamaha.   Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Rajabu Gamaha akisalimiana na Balozi wa Heshima kutoka Michigan Marekani ambaye pia ni Rais wa Taasisi ya  Sumake Global Partiner, Robert Shumake ambaye aliongozana na ujumbe wa Marekani wa watu 10 na kufanya nao mazungumzo Dar es Salaam...
11 years ago
MichuziKUNDI LA WAMAREKANI WAJA NCHINI KUTIZAMA FURSA ZA UWEKEZAJI
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
09-May-2025 in Tanzania