WAMAREKANI WADAI OBAMA SHUJAA WA KUPAMBANA NA ALIENS

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Wiki iliyopita niliishia pale nilipokuwa nikielezea namna ambavyo viumbe hawa wa ajabu waishio angani, Aliens wanavyohusishwa na Eneo la Area 51 lililopo katika Jimbo la Nevada nchini Marekani na jinsi walivyoweza kutengeneza ndege zenye muonekano wa sahani ambazo kwa sasa zinatengenezwa na Wamarekani. SASA ENDELEA… Kuna andiko la siri linalodai kwamba Rais wa 40 wa Marekani ambaye alikuwa ni...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili22 Aug
Ufaransa yawasifu Wamarekani
10 years ago
Habarileo28 Apr
‘Wapeni ushirikiano Wamarekani wanaojitolea’
JAMII imetakiwa kutoa ushirikiano unaotakiwa kwa kundi jipya la raia wa Marekani walioanza kujitolea hapa nchini. Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk Florens Turuka alisema hivi karibuni kuwa wananchi hao wanaojitolea wanahitaji kupewa moyo pamoja na msaada wa kiufundi watakaohitaji.
11 years ago
Uhuru Newspaper06 Aug
Kikwete awapa somo Wamarekani
Na mwandishi wetu
RAIS Jakaya Kikwete ameitaka sekta binafsi na wafanyabiashara wa Marekani kujifunza kutoka kwa wenzao wa Bara la Asia, ambao wameongeza uwekezaji barani Afrika.
Amesema hatua hiyo inatokana na kuwa wawekezaji hao wanapata taarifa sahihi na za ukweli kupitia vyombo mbalimbali.
Aidha, Rais Kikwete amesema pingamizi kubwa la kufanya biashara kati ya Marekani na Afrika sio tena Bahari ya Atlantic ama umbali, bali ni maono hasi yanayojengwa na vyombo vya habari vya Marekani kuhusu...
11 years ago
GPL15 May
MKURUGENZI TANZANIA AWAELEZA WAMAREKANI UKOMBOZI WA WAKULIMA
11 years ago
VijimamboWAMAREKANI WAFUNGA NDOA KWENYE MLIMA KILIMANJARO
11 years ago
GPL
WAMAREKANI WAFUNGA NDOA KATIKA MLIMA KILIMANJARO
11 years ago
VijimamboWAWEKEZAJI WAMAREKANI WATUA TANZANIA KUTIZAMA FULSA ZA UWEKEZAJI
11 years ago
GPLWAMAREKANI WAKARIBISHWA KUWEKEZANCHINI KATIKA MAENEO MBALIMBALI
5 years ago
BBCSwahili02 Jun
George Floyd: Jinsi Wamarekani weusi wanavyokabiliwa kisheria?