Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PSPF: Waajiri wapeni uhuru wafanyakazi

WAAJIRI wa sekta mbalimbali nchini wametakiwa kuheshimu na kuwapa uhuru watumishi wao kuchagua mfuko wowote wa hifadhi ya jamii wanaoupenda. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

PPF KUWABANA WAAJIRI WASIOWALIPIA WAFANYAKAZI

Meneja Huduma kwa Wateja na Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Bw. Godfrey Mollel akieleza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani). Stori: Mwandishi Wetu
MFUKO wa Pensheni (PPF) umesema kwamba endapo waajiri wa sekta mbalimbali waliojiunga na mfuko huo watashindwa kuwakilisha michango ya wafanyakazi wao kwa muda unaotakiwa hawatasita kuwachukulia hatua. Kauli hiyo ilitolewa na Meneja Huduma kwa Wanachama wa PPF,...

 

11 years ago

Habarileo

Waajiri sekta ya madini kutupiwa jicho afya za wafanyakazi

SERIKALI imesema haitalifumbia macho suala la waajiri wa sekta ya madini na nishati ambao wamekuwa wakiwafukuza wafanyakazi baada ya kupata matatizo ya kiafya wakiwa kazini.

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MAVUNDE AWATAKA WAAJIRI WOTE WASIOWASILISHA MICHANGO YA MAFAO YA WAFANYAKAZI KUJISALIMISHA WENYEWE NSSF

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mh Anthony Mavunde amewataka waajiri wote nchini ambao hawawasilishi michango  ya wafanyakazi kujisalimisha mapema wenyewe NSSF kabla ya kuchukulia hatua za kisheria.

Naibu Waziri Mavunde ameyasema hayo jana wakati wa kikao baina ya Menejimenti ya NSSF,Kampuni ya Knight Support na Wafanyakazi wa Knight Support juu ya mustakabali wa malimbikizo ya wasilisho la michango ya wafanyakazi pamoja na tozo ya adhabu inayofikia takribani...

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA PSPF WATEMBELEA VYOMBO VYA HABARI JIJINI DAR

Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Bw. Adam Mayingu akifafanua jambo kwa Wahariri wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) alipotembelea Makao Makuu ya MCL, Tabata Relini jijini Dar es salaam, kulia ni watendaji wa PSPFMkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd, Bw. Francis Nanai (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugezi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, baada ya kikao kazi kati ya Wahariri wa Mwananchi na Watendaji wa PSPF, kushoto ni Bw....

 

11 years ago

GPL

BARAZA LA WAFANYAKAZI WA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF LAFANYIKA JIJINI MWANZA

Pichani juu ni taswira za Baraza la Wafanyakazi wa PSPF lililofanyika jijini…

 

9 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa Benki ya NBC walivyoadhimisha Uhuru Day

Meneja wa Tawi la Corporate la Benki ya NBC, Geoffrey Ndossa (kushoto), na Meneja Masoko wa benki hiyo, Alina Maria Kimaryo wakifanya usafi eneo la ufukwe wa salender jijini Dar es Salaam kuadhimisha Siku ya Uhuru ambapo wafanyakazi wa NBC waliungana na watanzania wengine kuitikia wito wa serikali ya awamu ya tano kusafisha mazingiraBaadhi ya wafanyakazi wa benki ya NBC wakifanya usafi eneo ufukwe wa salander jijini Dar es Salaam kuadhimisha Siku ya Uhuru ambapo wafanyakazi hao waliungana na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Nape amaliza mgogoro wa wafanyakazi wa Uhuru Publications Ltd

SONY DSC

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Siasa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (kushoto), akigana na wafanyakazi wa kampuni ya Uhuru Publications Ltd (UPL), inayochapicha magazeti ya Uhuru na Mzalendo waliofika kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM jijini Dar es Salaam jana, kwa ajili ya mazungumzo naye na baadae kuapata muafaka kufuatia mgogoro uliokuwa ukifukuta katika kampuni hiyo.

SONY DSC

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Siasa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (wa pili kushoto), akifurahia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani