Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PPF KUWABANA WAAJIRI WASIOWALIPIA WAFANYAKAZI

Meneja Huduma kwa Wateja na Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Bw. Godfrey Mollel akieleza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani). Stori: Mwandishi Wetu
MFUKO wa Pensheni (PPF) umesema kwamba endapo waajiri wa sekta mbalimbali waliojiunga na mfuko huo watashindwa kuwakilisha michango ya wafanyakazi wao kwa muda unaotakiwa hawatasita kuwachukulia hatua. Kauli hiyo ilitolewa na Meneja Huduma kwa Wanachama wa PPF,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

PPF YAWANOA WAAJIRI KUHUSIANA NA HUDUMA ZAKE MPYA IKIWEMO PPF TAARIFA APP

Prof. Betria Mapunda ambae amemwakilisha Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar Es salaam akifungua semina iliyoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF kwa Waajiri kwa lengo la Kutoa elimu juu ya huduma zitolewazo na mfuko huo wa Pensheni wa PPF katika ukumbi wa Seaescape, Uliopo Mbezi Beach Jijini Dar Es Salaam.Meneja wa Kanda ya Kinondoni wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Zahara Kayugwa akitoa mada wakati wa semina iliyoandaliwa na Mfuko wa Penhsheni wa PPF kwaa Waajiri wa Makampuni na mashirika...

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali yaombwa kuwabana waajiri

Ramadhani Hassan na Pendo Mangala
WAFANYAKAZI Mkoa wa Dodoma wameishauri Serikali ihakikishe waajiri wanawaongezea mishahara kwa sababu malipo wanayolipwa sasa ni madogo.
Hayo yalisemwa jana na Katibu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Mkoa wa Dodoma, Ramadhani Mwenda, wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri.
Mwenda alisema kipato cha ujira wa mshahara wa mwezi hakitoshi na kwamba mishahara ya watumishi ni...

 

9 years ago

Habarileo

WCF yaahidi kuwabana waajiri

MFUKO wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umeahidi kuwabana waajiri watakaochelewa kuwasilisha michango ya watumishi wao kwa kuwatoza faini ya Sh milioni 50 kama adhabu.

 

9 years ago

Dewji Blog

CAG sasa kuwabana waajiri mikopo ya HESLB

Mkurugenzi Mtendaji - Bw. George Nyatega (4)

Mkurugenzi Mtendaji – Bw. George Nyatega.

Na Mwandishi Wetu

Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imeanza kukagua taasisi za umma kuhusu utekelezaji wa matakwa ya sheria inayowataka kuwatambua waajiriwa walionufaika na mikopo ya elimu ya juu na kuwasilisha makato kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).

Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Bw. George Nyatega, sheria iliyoanzisha HESLB inazitaka taasisi zzote za umma kuijulisha Bodi kwa maandishi...

 

11 years ago

Michuzi

PPF ILIVYOADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI LEO,RAIS KIKWETE AKAMKABIDHI ZAWADI MFANYAKAZI BORA WA PPF

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 5, Herman Kachima, ambaye ni Msimamizi wa huduma kwa wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakati wa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo. Mkurugenzi wa NSSF, Dkt. Mohammed Dau (Wapili kulia), akiteta jambo na mkurugenzi mkuu wa PPF, William Erio, na mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya udhibiti wa mifuko ya hifadhi ya jamii, (SSRA), Irine Isaka (Kushoto), na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

PPF kuwafikisha waajiri mahakamani

MFUKO wa pensheni wa PPF umesema utawafikisha mahakamani waajiri ambao hawapeleki michango kwa wakati kwani hali hiyo inasababisha usumbufu kwa wateja wao. Kauli hiyo imetolewa hivi karibuni na Meneja wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

PSPF: Waajiri wapeni uhuru wafanyakazi

WAAJIRI wa sekta mbalimbali nchini wametakiwa kuheshimu na kuwapa uhuru watumishi wao kuchagua mfuko wowote wa hifadhi ya jamii wanaoupenda. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana,...

 

11 years ago

Habarileo

Waajiri sekta ya madini kutupiwa jicho afya za wafanyakazi

SERIKALI imesema haitalifumbia macho suala la waajiri wa sekta ya madini na nishati ambao wamekuwa wakiwafukuza wafanyakazi baada ya kupata matatizo ya kiafya wakiwa kazini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani