Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAIBU WAZIRI MAVUNDE AWATAKA WAAJIRI WOTE WASIOWASILISHA MICHANGO YA MAFAO YA WAFANYAKAZI KUJISALIMISHA WENYEWE NSSF

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mh Anthony Mavunde amewataka waajiri wote nchini ambao hawawasilishi michango  ya wafanyakazi kujisalimisha mapema wenyewe NSSF kabla ya kuchukulia hatua za kisheria.

Naibu Waziri Mavunde ameyasema hayo jana wakati wa kikao baina ya Menejimenti ya NSSF,Kampuni ya Knight Support na Wafanyakazi wa Knight Support juu ya mustakabali wa malimbikizo ya wasilisho la michango ya wafanyakazi pamoja na tozo ya adhabu inayofikia takribani...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MAVUNDE AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA OSHA, ARUSHA

 Naibu waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira na wenye ulemavu Mhe. Antony Mavunde,amewataka watumishi wa Wakala wa Usalama na afya Mahali Pa Kazi (OSHA) kuendelea kufanya kaguzi na kuendelea kuwaelimisha jamii kuhusiana na mambo mbalilmbali yahusuyo Usalama na Afya kwa wafanyakazi, kwani kutasaidia kupunguza ajali na magonjwa sehemu za kazi.

Hayo yamesemwa Jijini Arusha wakati wa ukifunguzi wa Baraza la Wafanyakazi wa wa Wakala wa Usalama na Afya Mahali Pa Kazi (OSHA),...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MAVUNDE AWATAKA WATANZANIA KUUNGA MKONO BIDHAA ZINAZOZALISHWA NA VIJANA

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana Na Ajira Mh Anthony Mavunde ametoa rai kwa Watanzania kuunga mkono bidhaa zinazozalishwa na Vijana wa Tanzania kwa kuwa soko  la bidhaa zao.

Naibu Waziri Mavunde ameyasema hayo leo Jijini Mwanza alipotembelea Kiwanda cha Vijana cha Soma bags cha mabegi ya wanafunzi ambacho kimepewa mkopo wa Tsh 30,000,000 kupitia Mfuko wa maendeleo ya Vijana-YDF.

"Mkopo mlioupata mmeutumia vyema na kuongeza uzalishaji kwa kiwango kikubwa,ninyi mnatuma...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMPOKEA WAZIRI JENISTA MHAGAMA NA NAIBU MAWAZIRI MAVUNDE NA POSSI

si11Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama wakati aliporipoti Ofisini kwake jijini Dar es salaam kuanza kazi Desemba 14, 2015. si12Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Naibu Waziri wa Nchi, ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde  wakati aliporipoti Ofisini kwake jijini Dar es salaam kuanza kazi Desemba 14, 2015. Katikati ni Waziri wa Nchi  Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenisa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Majaliwa ampokea Waziri Jenista na Naibu Mawaziri Mavunde na Possi

IMGS5294

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama akipokea maua kutoka kwa mtumishi wa ofisi ya Waziri Mkuu, Numpe mwadumbya (kushoto) baada ya kuwasili ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuanza kazi Desemba 14, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). IMGS5299 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama (wa pili kushoto)  akishuhudia wakati Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde (wa pili kulia ) na Dkt. Abdallah Possi(kulia) wakipokea maua kutoka kwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Anthony Mavunde afanya ziara makao makuu ya Tigo

  Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde  akizungumza na wafanyakazi wa Tigo baada ya kufanya ziara mapema  wiki hii katika makao makuu ya Tigo Kijtonyama  jijini Dar es Salaam Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Anthony Mavunde akizungumza na waandishi wa habari na wafanyakazi wa Tigo baada ya kufanya ziara mapema wiki hii  katika makao makuu ya Tigo Kijitonyama Dar es Salaam. Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez , akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo...

 

9 years ago

Habarileo

‘Wabaneni waajiri wanaochelewesha michango’

MAMLAKA ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), imeikumbusha mifuko hiyo kuhakikisha inawabana waajiri wanaochelewesha michango ya wanachama wao kwa kuwa sheria inaruhusu.

 

11 years ago

Mwananchi

Naibu waziri awataka wanawake kuacha woga

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angellah Kairuki amewataka wanawake nchini kuacha woga na kujibweteka badala yake wabadilike, wajijengee uwezo na kujitokeza katika fursa mbalimbali za kuwania uongozi.

 

10 years ago

Michuzi

Naibu waziri wa maliasili na utalii awataka vijana kujituma kufanya kazi

 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mahmoud Mgimwa ambaye ni mbunge wa jimbo la mufindi kusini (katikati) akiwa katika moja ya ziara zake za Wizara ya Maliasili na utalii  Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mahmoud Mgimwa ambaye ni mbunge wa jimbo la mufindi kusini akiwa katika moja ya ziara zake za wizara ya maliasili na utalii na wengine ni viongozi wa TANAPANaibu waziri wa maliasili na utalii Mahmoud Mgimwa ambaye ni mbunge wa jimbo la mufindi kusini akiwa ziarani.
BOFYA HAPA KWA HABARI...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani