Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Wabaneni waajiri wanaochelewesha michango’

MAMLAKA ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), imeikumbusha mifuko hiyo kuhakikisha inawabana waajiri wanaochelewesha michango ya wanachama wao kwa kuwa sheria inaruhusu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MAVUNDE AWATAKA WAAJIRI WOTE WASIOWASILISHA MICHANGO YA MAFAO YA WAFANYAKAZI KUJISALIMISHA WENYEWE NSSF

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mh Anthony Mavunde amewataka waajiri wote nchini ambao hawawasilishi michango  ya wafanyakazi kujisalimisha mapema wenyewe NSSF kabla ya kuchukulia hatua za kisheria.

Naibu Waziri Mavunde ameyasema hayo jana wakati wa kikao baina ya Menejimenti ya NSSF,Kampuni ya Knight Support na Wafanyakazi wa Knight Support juu ya mustakabali wa malimbikizo ya wasilisho la michango ya wafanyakazi pamoja na tozo ya adhabu inayofikia takribani...

 

5 years ago

Michuzi

CHAMA CHA MAPINDUZI CHAWAONYA WATUMISHI WA UMMA WAZEMBE NA WANAOCHELEWESHA MAENDELEO YA WATU – PEMBA








Akizungumza katika kikao cha ndani cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba Zanzibar, Ndugu Humphrey Polepole Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi amesema Chama Cha Mapinduzi kinawaonya Watumishi wa Umma wazembe, wanaochelewesha maendeleo ya Watu Pemba Zanzibar.

Akifafanua suala hilo Ndugu Polepole amesema pamoja na kazi nzuri inayofanywa na Dk. Ali Mohammed Shein Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ya Zanzibar bado wapo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waajiri wafundwa

WAAJIRI wametakiwa kushiriki Siku ya Taaluma nchini (Career Day) ambayo hufanyika kila mwaka katika Chuo Kikuu cha Ushirika na Biashara cha Moshi (MUCCoBS) kama sehemu muhimu ya kukutana na watu...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mwigulu awavaa waajiri



Aagiza wakamatwe na kushitakiwa haraka
NA MOHAMMED ISSA NA LILIAN JOEL, ARUSHA
SERIKALI imeagiza kushitakiwa kwa waajiri wote nchini, ambao hawawasilishi michango ya wafanyakazi wao kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
Pia imewaonya waajiri kuacha mara moja tabia ya kutopeleka ama kuchelewesha michango ya wafanyakazi kwa kuwa ni kinyume cha sheria.
Mbali na hilo, imesema inaridhishwa na utendaji unaofanywa na uongozi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, kwa kuongeza thamani ya mfuko huo.
Naibu Waziri wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

SSRA yawaonya waajiri

MAMLAKA ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), imewaonya waajiri na Mifuko ya Hifadhi nchini kutowalazimisha wafanyakazi kujiunga na mifuko wanayoitaka wao. Akitoa taarifa kwa umma...

 

9 years ago

Habarileo

Waajiri wa madereva waonywa

SERIKALI itaanza kuchukua hatua za kisheria kwa waajiri watakaokiuka makubaliano katika mikataba mipya ya madereva kuanzia Oktoba Mosi mwaka huu, huku madereva wakionywa kuacha tishio la migomo.

 

10 years ago

Mwananchi

DK Bilal awafunda waajiri

Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal amewataka waajiri nchini kuridhia kuwaajiri Watanzania waliopatiwa mafunzo ya utambuzi wa ujuzi nje ya mfumo rasmi, ili kupunguza tatizo la ajira na kutumia uzoefu wao kikazi kuongeza uzalishaji.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waajiri nchini washauriwa

WAAJIRI nchini wameshauriwa kujenga utamaduni wa kuwa na siku maalumu ya kuwakutanisha wafanyakazi na familia zao nje ya maeneo ya kazi, jambo ambalo litawaongezea upendo na ufanisi katika utendaji kazi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani