Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DK Bilal awafunda waajiri

Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal amewataka waajiri nchini kuridhia kuwaajiri Watanzania waliopatiwa mafunzo ya utambuzi wa ujuzi nje ya mfumo rasmi, ili kupunguza tatizo la ajira na kutumia uzoefu wao kikazi kuongeza uzalishaji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mchungaji awafunda wajumbe

MCHUNGAJI wa Kanisa la TAG mjini hapa, Vangast Salum, amewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuhakikisha wanatekeleza kile walichotumwa na wananchi. Alitoa kauli hiyo mjini hapa jana na kusema...

 

10 years ago

Mtanzania

Ney wa Mitego awafunda wasanii

neyNA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Emanueli Elibariki ‘Ney wa Mitego’, amewataka wasanii wenzake kuwa na upendo na kutoa msaada kwa jamii.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Ney alisema kuwa yeye ni kioo cha jamii na katika matatizo ya kibinadamu anakuwa kama mtu wa kawaida kwa kusaidia.
“Unajua sisi ni binadamu na kama umefanikiwa kwa kiasi fulani basi na wewe unatakiwa kutoa msaada kidogo ulichokua nacho, hivyo nawaasa wasanii wenzangu kujitolea,”...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kipa Stars awafunda wenzake

KIPA wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars na Azam FC, Aishi Manula, amewataka wachezaji wenzake watafute mabao ya mapema katika mechi yao ya marudiano ugenini dhidi ya Msumbiji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbene awafunda wafanyabiashara nchini

WAKATI wafanyabiashara wa Afrika Kusini wakionyesha nia ya kuzidi kuja kuwekeza na kufanya biashara nchini, serikali imewashauri wafanyabiashara kuhakikisha wanashirikiana nao ili kusaidia nchi kupiga hatua kiuchumi na kimaendeleo. Naibu...

 

11 years ago

Mwananchi

Mkenya awafunda wanariadha wa Tanzania

Bingwa mara mbili wa Olimpiki, Mkenya Kipchoge Keino amewaambia wanariadha wawili wa Tanzania waliokokambini Kenya kuwa nguzo kuu ya kufanikiwa ni kuzingatia nidhamu, kujituma na kujiamini.

 

11 years ago

Mwananchi

Chikawe awafunda waliopewa uraia

Wakimbizi waliopewa uraia wa Tanzania wameaswa kuzingatia sheria na tararibu za nchi ikiwa ni pamoja na kutokushiriki kupiga kura katika uchaguzi mkuu mwakani.

 

10 years ago

Mwananchi

Jenerali Mwamunyange awafunda wakufunzi

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama wa Tanzania (JWTZ), Jenerali Devis Mwamunyange amesema katika kuendeleza juhudi za Serikali juu ya kuboresha mafunzo ya JKT nchini, wakufunzi wa mafunzo hayo wanapaswa kufuata maadili ya taaluma yao katika utekelezaji wa majukumu waliyokabidhiwa na jeshi hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

IGP Mangu awafunda Polisi

MAOFISA na askari Polisi nchini wametakiwa kuendelea kufanya kazi kwa kufuata misingi na maadili ya kazi ili kuendelea kutoa huduma bora kwa jamii. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP)...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mnyika awafunda wanawake Ubungo

NAIBU Katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bara, John Mnyika, amesema ushindi mkubwa wa chama hicho katika uchaguzi wa serikali za mitaa, utawapa nguvu madiwani na wabunge kutetea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani