Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kipa Stars awafunda wenzake

KIPA wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars na Azam FC, Aishi Manula, amewataka wachezaji wenzake watafute mabao ya mapema katika mechi yao ya marudiano ugenini dhidi ya Msumbiji...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal kumsajili kipa wa Chelsea

Arsenal wanakaribia kuweka makubaliano ya kumsajili kipa wa Chelsea Petr Cech.

 

10 years ago

GPL

Man U yamsajili kipa wa Barcelona

Victor Valdes akisaini kuichezea Man U.
MANCHESTER, England  
KLABU ya Manchester United imethibitisha kumsajili kipa wa zamani wa Barcelona, Victor Valdes kwa mkataba wa mwaka mmoja na nusu. Valdes mwenye umri wa miaka 32, alikuwa akifanya mazoezi na klabu hiyo tangu Oktoba, mwaka jana baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu akisumbuliwa na maumivu ya goti. Valdes ameeleza kuwa amefurahishwa na usajili huo na yupo...

 

10 years ago

Mwananchi

Kipa JKU atua Msimbazi

Kipa wa JKU ya visiwani Zanzibar, Abdulrahman Mohamed jana alitarajia kusaini mkataba wa miaka miwili ya kuichezea Simba kuanzia msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kipa wa Mexico ainyima Brazil ushindi

Kipa wa Mexico alilazimika kufanya kazi ya ziada kuinyima Brazil alama zote tatu timu hizo zilipochuana

 

11 years ago

Mwananchi

Pazi: Kipa Ivo, Casilas patamu

Kocha wa makipa wa Simba, Iddi Pazi amesema ujio wa kipa mpya Hussein Sharrif ‘Casilas’ utampa changamoto kipa Ivo Mapunda.

 

11 years ago

Mwananchi

Mourinho adai kipa ndiye aliyewatoa

>Kocha Jose Mourinho amesema kudaka mipira migumu na kuondoa hatari nyingi langoni kwake kumemfanya kipa wa Atletico Madrid, Thibaut Courtois kuiondoa Chelsea katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya juzi usiku.

 

11 years ago

Mwananchi

Bao Tchetche lamkuna Kipa Tusker

>Kipa wa Tusker, Samwel Odhiambo amesema  kipigo walichokipata cha bao 1-0 kutoka kwa Azam si msiba, na kumsifu Kipre Tchetche kwa ustadi aliotumia  kufunga bao hilo.

 

11 years ago

GPL

Kipa aliyedaka penalti ya Messi asimulia

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’. Na Lucy Mgina
KIPA wa Rhino Rangers, Charles Mpinuki, amesema alijua kabisa kuwa angedaka penalti ya kiungo mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’, walipocheza nao wikiendi iliyopita.
Simba na Rhino ya Tabora zilimenyana wikiendi iliyopita kwenye Uwanja wa Taifa ambapo vijana hao wa Msimbazi waliibuka na ushindi wa bao 1-0....

 

9 years ago

Mwananchi

Kipa APR aziota Yanga, Simba

Kipa namba moja wa Rwanda na APR, Olivier Kwizera amesema anatamani siku moja kucheza katika Ligi Kuu Tanzania Bara na akitaka siku moja kuja kuichezea Yanga au Simba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani