Kipa aliyedaka penalti ya Messi asimulia

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’. Na Lucy Mgina KIPA wa Rhino Rangers, Charles Mpinuki, amesema alijua kabisa kuwa angedaka penalti ya kiungo mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’, walipocheza nao wikiendi iliyopita. Simba na Rhino ya Tabora zilimenyana wikiendi iliyopita kwenye Uwanja wa Taifa ambapo vijana hao wa Msimbazi waliibuka na ushindi wa bao 1-0....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
Du! Penalti
11 years ago
Mwananchi19 Aug
Sure Boy agoma penalti
10 years ago
Mtanzania22 Oct
Terry alilia penalti
KIEV, Urusi
BEKI wa Chelsea, Mwingereza John Terry, amedai kuwa timu yake ilinyimwa penalti katika mchezo wa juzi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA) dhidi ya Dynamo Kiev ambapo timu hizo hazikufungana.
Katika mchezo huo wa kundi G uliopigwa Olympic Stadium nchini Urusi, kiungo wa Chelsea, Cesc Fabregas, aliangushwa ndani ya eneo la hatari na mlinzi wa Dynamo Kiev, Sergiy Rybalka, lakini mwamuzi Damir Skomina, aliamuru mchezo uendelee, jambo ambalo Terry anahisi si sahihi.
“Bado tupo vizuri,...
10 years ago
Mwananchi09 Jan
Penalti zawabeba Mtibwa, Polisi
11 years ago
GPL
Penalti za Cannavaro, mbwembwe 100%
10 years ago
GPL
Penalti ya Ajibu yamliza Okwi
10 years ago
BBCSwahili30 Oct
Refarii aliyekataa kutoa penalti afungiwa
10 years ago
Habarileo24 Oct
Kamusoko, Msuva wakosa penalti tena
WACHEZAJI Thaban Kamusoko, Vicent Bossou na Simon Msuva wamekosa penalti wakati wa mazoezi yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Karume Dar es Salaam.
11 years ago
GPL
Al Ahly waichambua penalti ya Cannavaro dakika 10