Refarii aliyekataa kutoa penalti afungiwa
Timu ya soka ya Trabzonspor ilimfungia refarii kwa saa kadhaa baada ya kuwanyima penalti dhidi ya mahasimu wao wa jadi Gaziantepspor
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili13 Sep
Mwalimu aliyekataa uchawi sasa mbarikiwa
9 years ago
BBCSwahili04 Dec
Aliyekataa tiba akisema amepoteza mng’ao afariki
11 years ago
BBCSwahili13 Jun
Refarii alituoonea Croatia Kovac
9 years ago
BBCSwahili01 Oct
Papa Francis akutana na karani aliyekataa ndoa za jinsia moja
9 years ago
BBCSwahili06 Dec
Wawili kati ya refarii 3 hutukanwa uwanjani
11 years ago
BBCSwahili06 Aug
Refarii mtajika Howard Webb ameestaafu.
9 years ago
BBCSwahili29 Dec
Refarii 'mpenzi wa jinsia moja' kulipwa
9 years ago
Mtanzania31 Dec
Refarii ‘mpenzi wa jinsia moja’ kulipwa fidia
ANKARA, UTURUKI
MWAMUZI mmoja nchini Uturuki, Halil Dincdag, aliyefukuzwa kazi kwa tuhuma ya kushiriki mapenzi ya jinsia moja, ameshinda kesi dhidi ya shirikisho la soka la nchini humo.
Mahakama nchini Uturuki imeamuru shirikisho hilo kumlipa fidia mwamuzi huyo kiasi cha dola za Marekani 8,000 kutokana na kushinda kesi hiyo.
Dincdag amefurahia ushindi huo na kusema kuwa ni ushindi kwa watu wanaobaguliwa kijinsia hasa katika michezo nchini Uturuki.
“Sio ushindi wangu peke yangu ila ni kwa...
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Video ya maamuzi waliofanya ZFA kuhusu muamuzi wa pembeni aliyekataa goli la Mtibwa dhidi ya Azam FC …
January 3 ndio siku ambayo Kombe la Mapinduzi lilianza visiwani Zanzibar kwa michezo miwili kupigwa kwa nyakati mbili tofauti katika uwanja Amaan, ila mchezo wa pili wa Kundi B uliozikutanisha timu za Azam FC dhidi ya Mtibwa Sugar na kumalizika kwa sare ya goli 1-1, uliingia kwenye headlines baada ya muamuzi wa pembeni Dalila Jaffar Mtwana kunyoosha […]
The post Video ya maamuzi waliofanya ZFA kuhusu muamuzi wa pembeni aliyekataa goli la Mtibwa dhidi ya Azam FC … appeared first on...